-
San Su Kyi apongeza mauaji yanayofanywa dhidi ya Waislamu wa Rohingya
Jan 15, 2018 03:29Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Myanmar ambaye pia ni Mshauri Mkuu wa Serikali ya nchi hiyo amepongeza mauaji yanayofanyika dhidi ya Waislamu wa Rohingya nchini humo.
-
Kuuawa zaidi ya Wabaharain 200 kunatokana na ukandamizaji wa utawala wa Bahrain na kimya cha jamii ya kimataifa
Jan 14, 2018 23:47Sheikh Mortadha al-Sandi, Kiongozi wa Harakati ya Wafa Al-Islami ya nchini Bahrain, sambamba na kubainisha kwamba utawala wa Aal-Khalifa unalipiza kisasi cha kisiasa dhidi ya wanamapinduzi wa nchi hiyo amesema kuwa, hadi sasa zaidi ya wanaharakati 200 wa nchi hiyo wameuawa kupitia ukandamizaji wa watawala dhidi ya wapinzani wao.
-
Rais Rouhani: Marekani imezidi kujidhalilisha kwa kukataa kuheshimu JCPOA
Jan 14, 2018 12:27Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, Marekani imefeli kimataifa na katika uingiliaji wake wa masuala ya ndani ya Iran.
-
Meli ya mafuta ya Iran yazama baada ya kuwaka moto wiki moja, wahudumu 32 wafariki + Video
Jan 14, 2018 10:50Meli ya mafuta ya Iran, MV Sanchi imezama katika Bahari ya China Mashariki baada ya kugongana na meli nyingine na kuwaka moto kwa muda wa wiki moja. Wahudumu wote 32 wa meli hiyo ya mafuta wamepoteza maisha yao.
-
Chama cha ACT Wazalendo Tanzania chataka Trump achukuliwe hatua kali
Jan 14, 2018 01:21Chama cha ACT Wazalendo cha nchini Tanzania kimetaka hatua kali zichukuliwe dhidi ya Rais Donald Trump wa Marekani kufuatia hatua yake ya kutoa matamshi ya chuki dhidi ya mataifa ya Afrika na raia wanaotoka bara la Afrika.
-
Matamshi ya kudhalilisha ya Trump kuhusu nchi za Kiafrika yakabiliwa na wimbi la ukosoaji
Jan 13, 2018 23:24Mabalozi wa nchi 54 za Kiafrika katika Umoja wa Mataifa wamelaani matamshi ya kudhalilisha yaliyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu Waafrika.
-
SAUTI, Wafrika waendelea kulaani matamshi ya Trump, wamtaka ajiangalie kama anafanana na thamani iliyonayo Afrika
Jan 13, 2018 15:19Huku dunia ikiendelea kulaani vikalai matamshi ya Rais Donald Trump wa Marekanmi aliyoyatoa siku ya Alkhamisi iliyopita ambapo aliyashambulia mataifa ya bara hilo na kuyafananisha na shimo la choo, Waafrika wameenonyesha kuchukizwa na kitendo huku wengine wakitaka kuchukuliwa hatua kali dhidi ya rais huyo.
-
Iran na Uganda zatia nia ya kuimarisha uhusiano baina yao + Sauti
Jan 13, 2018 06:01Wizara ya Mambo ya Nje ya Uganda imeitaka kamati maalumu iliyopewa jukumu la kufuatilia makubaliano ya pande mbili kati ya nchi hiyo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuongeza kasi ya kuhakikisha vipengee vyote vya mapatano hayo vinatekelezwa. Mwandishi wa Radio Tehran ana maelezo zaidi kutoka Kampala
-
Maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Jan 12, 2018 13:29Rais wa Zanzibar Dakta Ali Mohamed Shein aahidi elimu ya sekondari bila malipo
-
SAUTI, Ziara ya Edward Lowassa, kada wa chama cha upinzani Tanzania CHADEMA katika ikulu ya rais
Jan 11, 2018 08:32Aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya chama kikuu cha upinzani cha CHADEMA katika uchaguzi wa mwaka 2015 nchini Tanzania, Edward Lowassa leo amekutana na Rais John Magufuli wa nchi hiyo na kumpongeza kwa kazi nzuri iliyofanywa na serikali yake tangu aliposhika madaraka.