-
Njama za wazi na za siri za Marekani katika mtazamo wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Jan 11, 2018 00:19Jumanne asubuhi, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu alikutana na maelfu ya wananchi wa Qum waliokwenda kuonana naye ambapo sambamba na kuzungumzia mwamko wa wananchi wa tarehe 19 Dey 1356 Hijiria Shamsia, sawa na tarehe 9 January 1978, alifafanua pia uaminifu wa raia wa taifa hili kwa kubaini njama tofauti za adui katika kutumia vibaya malalamiko sahihi ya wananchi hapa nchini.
-
Wanawake wanaotalikiwa Zanzibar kupewa asilimia 50 ya mali walizochuma kwenye ndoa
Jan 09, 2018 13:28Wanawake wanaotalikiwa katika visiwa vya Zanzibar sasa watapewa asilimia 50 ya mali walizochuma wakiwa kwenye ndoa.
-
SAUTI, Serikali visiwani Zanzibar yatakiwa kusaidia harakati za kutokomeza vitendo vya udhalilishaji dhidi ya wasichana
Jan 08, 2018 14:26Jumuiya Ya Walimu wa Madrasa za Qur-an inayojishughulisha na kupiga vita vitendo vya udhalilishaji visiwani Zanzibar, imeiomba serakali ya mapinduzi ya Zanzibar kuweka Hukumu Kali Kwa Watu Wanaofanya vitendo vya Udhalilishaji dhidi ya wanawake na watoto.
-
SAUTI, Waislamu watakiwa kuyaenzi mafundisho ya Qur'an Tukufu na kuacha mifarakano
Jan 08, 2018 13:56Waislamu duniani wametakiwa kuenzi mafundisho ya Qur'an Tukufu sambamba na kuachana na tofauti ndogondogo zinazoweza kuwafanya kutokuwa wamoja.
-
SAUTI, Serikali ya Tanzania yaendelea kuwatoa khofu Watanzania juu ya masuala ya kiuchumi, yasema wasiwe na wasi wasi
Jan 08, 2018 13:53Huku serikali ya Tanzania chini ya Rais John Pombe Magufuli inaingia katika mwaka wa tatu wa uongozi wake,serikali hiyo imewatoa hofu wananchi juu ya hali ya uchumi.
-
Shaka na wasiwasi kuhusu uzima na utimamu wa akili wa Trump
Jan 08, 2018 04:23Gumzo na mijadala kuhusu uzima wa akili wa Rais wa Marekani sasa imegeuka kuwa maudhui muhimu inayozungumziwa ndani na nje ya nchi hiyo.
-
Sheria ya "adhabu ya kifo" dhidi ya Wapalestina walioshiriki katika operesheni dhidi ya Israel; ugaidi wa kiserikali
Jan 06, 2018 04:12Hatua ya Bunge la Israel ya kupasisha sheria ya "adhabu ya kifo" dhidi ya Wapalestina walioshiriki katika mashambulizi dhidi ya malengo ya Israel ambayo yamepelekea kuuawa Wazayuni, imekabiliwa na upinzani mkali wa maafisa wa Palestina na Umoja wa Ulaya.
-
Tundu Lissu amshangaa Rais Magufuli kutozungumza chochote kuhusu waliomshambulia
Jan 05, 2018 14:52Mwanasheria Mkuu wa chama cha CHADEMA cha nchini Tanzania amesema kuwa anaamini serikali ya Tanzania ilikuwa inajua vyema kuhusu shambulio dhidi yake. Amesema hayo leo Ijumaa mbele ya waandishi wa habari nchini Kenya akiwa katika maandalizi ya kurejea Tanzania kesho Jumamosi. Maelezo zaidi yamo kwenye ripoti hii ya mwandishi wa Radio Tehran.
-
Kuendelea machafuko ya kikabila nchini Nigeria
Jan 03, 2018 23:03Katika mashambulizi mapya ya kikabila nchini Nigeria, watu wa kabila la Fulani wameshambulia eneo la Tif na kuua zaidi ya watu 50 wa eneo hilo.
-
Museveni 'ajirefushia' muda wa kubakia madarakani + SAUTI
Jan 03, 2018 04:04Rais Yoweri Museveni wa Uganda ametia saini na kuufanya kuwa sheria muswada wa kuondoa kikomo cha umri wa rais wa nchi hiyo, suala ambalo limemfungulia njia ya kuwania tena urais mwaka 2021.