-
SAUTI, Mpango: Uchumi wa Tanzania unazidi kuimarika zaidi ukilinganishwa na nchi wanachama wa EAC
Dec 29, 2017 13:36Tanzania ndio nchi ambayo imeonekana kuwa na kiwango kikubwa cha ukuaji uchumi katika nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ambapo kwa mwaka huu uchumi wake umekuwa kwa asilimia 6.8 ikilinganishwa na mwaka jana wakati kama huu.
-
Qur'ani ya kwanza kabisa kuwahi kufasiriwa kwa lugha ya Kirundi + SAUTI
Dec 26, 2017 06:10Kwa mara ya kwanza katika historia ya Uislamu nchini Burundi kumezinduliwa tafsiri ya Qur'ani nzima kwa lugha ya Kirundi.
-
Wazayuni wavamia sehemu alipozaliwa Nabii Issa (Yesu) wawapiga mabomu Wakristo (+ Picha, Video)
Dec 24, 2017 13:11Bila ya kujali utukufu wa eneo alipozaliwa Nabii Isa AS, kwa mara nyingine jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limeuvamia mji wa Baytullahm (Bethlehem) na kuwashambulia kwa mabomu ya kutoa machozi Wapalestina waliokuwa wanaandamana kupinga siasa za kiuadui za Marekani dhidi ya eneo hilo takatifu.
-
Kutaja jina la Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kunatia kichefuchefu
Dec 20, 2017 04:11Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Saudi Arabia amedai katika maneno ya kuchekesha na kustaajabisha kwa wakati mmoja kwamba, nchi hiyo na utawala wa Kizayuni wa Israel hazina uhusiano rasmi lakini Riyadh ina ramani ya njia eti ya mpango wa Kiarabu wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na Tel Aviv.
-
Burundi kurefusha muda wa urais kutoka miaka mitano hadi saba, Pierre Nkurunzinza kuendelea kutawala
Dec 19, 2017 05:57Serikali ya Burundi iko mbioni kufanyia marekebisho katiba ya nchi hiyo na kumuongezea muda wa kutawala rais kutoka miaka mitano hadi saba, suala ambalo linatoa fursa kwa Rais Nkurunziza kuiongoza nchi hiyo hadi mwaka 2034. Hamida Issa na maelezo zaidi
-
Sheikh Ponda Issa Ponda ashinda tena kesi mahakamani Tanzania + Sauti
Dec 19, 2017 05:53Kwa mara nyingine tena Sheikh Ponda Issa Ponda, Katibu wa Jumuiya za Kiislamu nchini Tanzania kwa mara nyingine tena ameshinda kesi mahakamani na hivyo kuachiliwa huru. Mwandishi wetu Silvano Kayera na maelezo zaidi kutoka jijini Dar es Salaam.
-
Juhudi za kukuza Kiswahili nchini Rwanda
Dec 19, 2017 05:51Juhudi za kukuza lugha tamu ya Kiswahili zinaendelea nchini Rwanda, baada ya nchi hiyo kukitangaza Kiswahili kuwa lugha ya nne rasmi nchini humo. Mwandishi wetu Sylvanus Karemera na maelezo zaidi kutoka Kigali.
-
Kuchanganyikiwa Trump katika sera zake kuhusiana na Mashariki ya Kati
Dec 17, 2017 04:47Siasa na sera za Marekani katika Mashariki ya Kati siku zote zimekuwa kwa namna fulani zikiandamana na nia mbaya na malengo maovu. Na zaidi katika miaka ya karibuni ambapo, Marekani haijapata matunda yoyote ya maana katika eneo hili zaidi ya kuzusha mivutano, vitisho, machafuko na kuvuruga hali ya mambo. Na hii ni pamoja na kwamba marais wote wanaokuja na kuondoka nchini Marekani husema kuwa wanataka kurasimisha demokrasia katika eneo hili muhimu.
-
RIPOTI: Tanzania yaitaka UN ichunguze mauaji ya askari wake huko DRC (SAUTI)
Dec 14, 2017 12:56Miili ya wanajeshi 14 wa JWTZ waliouawa Kongo DR yaagwa.
-
Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi afungua mashindano ya baskeli ya Afrika Mashariki na Kati
Dec 12, 2017 04:49Jumuiya ya Afrika Mashariki imeandaa mashindano ya baskeli nchini Burundi yaliyitishwa kamaishara ya amani nchini humo. Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza ambaye pia ni mshiriki wa mashindano hayo ndiye aliyeyazindua. Mwandishi wetu Hamida Issa na maelezo zaidi: