Maadhimisho ya Bahman 22 katika picha
https://parstoday.ir/sw/news/iran-i1042-maadhimisho_ya_bahman_22_katika_picha
Madhimisho ya mamilioni ya watu ya miaka 37 ya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, yamefanyika leo kwa kufana mto mjini Tehran na katika zaidi ya miji 1000, mikoa, wilaya na kata na katika zaidi ya vijiji 4000 ndani ya Iran.
(last modified 2026-01-14T08:12:18+00:00 )
Feb 11, 2016 11:57 UTC
  • Maadhimisho ya Bahman 22 katika picha

Madhimisho ya mamilioni ya watu ya miaka 37 ya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, yamefanyika leo kwa kufana mto mjini Tehran na katika zaidi ya miji 1000, mikoa, wilaya na kata na katika zaidi ya vijiji 4000 ndani ya Iran.

Tarehe 22 Bahman, Hijria Shamsia inayosadifiana na Februari 11 kila mwaka, huwa ni siku ya kufikia kileleni sherehe za ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran. Tarehe 11 Februari 1979, sawa na tarehe 22 Bahman mwaka 1357 Hijiria Shamsia, Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yakiongozwa na Imam Khomein (MA) mwasisi mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yalifanikiwa kuupindua utawala kibaraka wa Kipahlavi.

Hapa tumekuwekea baadhi ya picha za maadhimisho hayo yaliyofanyika leo Alkhamisi Februari 11, 2016 hapa Tehran