-
Araghchi: Kuendelea kuzingirwa Gaza na kuuawa watu wasio na hatia ni jinai isiyo na mfano
Apr 28, 2025 07:55Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuendelea kuzingirwa Gaza na kuuawa watu wasio na hatia ni jinai isiyo na mfano katika historia ya mwanadamu.
-
Duru ya nne ya mazungumzo ya Iran na Marekani kufanyika karibuni
Apr 28, 2025 07:54Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran, Ismail Baqaei, amesema kuwa, duru ya nne ya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Iran na Marekani itafanyika Jumamosi ijayo huko Muscat, Oman.
-
Kiongozi Muadhamu atoa mkono wa pole kufuatia mripuko 'mchungu' kusini mwa Iran
Apr 28, 2025 04:36Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ametoa salamu za rambirambi kwa familia zinazoomboleza wahanga wa mripuko "mchungu" katika Bandari ya Shahid Rajaee katika mji wa kusini wa Bandar Abbas, na kutaka uchunguzi wa kina ufanyike kuhusiana na tukio hilo.
-
Iran yaionya Israel; Shambulio lolote la kijeshi litajibiwa
Apr 28, 2025 04:31Katika ujumbe wa kijasiri, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amekashifu juhudi za "kinjozi" za Israel za kuishurutisha Tehran na kuonya kwamba, shambulio lolote la kijeshi dhidi ya taifa hili litajibiwa mara moja.
-
Leo ni siku ya maombolezo nchini kufuatia mripuko uliotokea katika Bandari ya Shahidi Rajaee
Apr 27, 2025 23:44Serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa, leo Jumatatu ni siku ya maombolezo nchini kote kufuatia tukio la kusikitisha la mripuko uliotokea kwenye Bandari ya Shahid Rajaee iliyoko mjini Bandar Abbas, katika mkoa wa kusini wa Hormozgan.
-
Msemaji wa Wizara ya Ulinzi: Hakukuwa na shehena za zana za kijeshi katika Bandari ya Shahid Rajaee
Apr 27, 2025 23:03Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza kuwa uchunguzi unaonyesha kuwa hakukuwa na shehena iliyoingizwa nchini au kusafirishwa nje ya nchi kwa ajili ya fueli au kwa matumizi ya kijeshi katika eneo la tukio la moto katika Bandari ya Shahidi Rajaee.
-
Pezeshkian: Iran iko tayari kupanua mahusiano na Afrika katika nyanja zote
Apr 27, 2025 09:47Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amezungumzia uwezo wa bara la Afrika na ulazima wa kuwepo ushirikiano na kwamba, Iran iko tayari kupanua ushirikiano wake na bara la Afrika katika nyanja zote.
-
Usafirishaji nje bidhaa waanza tena kwenye Bandari ya Shahid Rajaee baada ya mlipuko wa jana
Apr 27, 2025 08:27Idara ya Forodha ya Irani imetangaza kuwa: Taratibu za forodha za usafirishaji na uagizaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi zimeanza tena katika Forodha ya Bandari ya Shahid Rajaee huko Bandar Abbas.
-
Mkutano wa 3 wa Kiuchumi wa Iran na Afrika umeanza mjini Tehran
Apr 27, 2025 04:19Mkutano wa 3 wa Ushirikiano wa Kiuchumi kati ya Iran na Afrika umeanza leo hapa Tehran na utaendelea hadi tarehe 29 mwezi huu wa Aprili. Mkutano huu aidha utaendelea katika mji wa Isfahan hapa nchini tarehe 29 hadi 30 Aprili.
-
Araqchi: Nimeridhishwa na hatua zilizopigwa katika mazungumzo na Marekani; mashauriano zaidi yanahitajika
Apr 27, 2025 04:16Abbas Araqchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema ameridhishwa na hatua zilizopigwa hadi sasa katika mazungumzo ya nyuklia yasiyo ya moja kwa moja kati ya Iran na Marekani.