-
Mchakato wa upigaji kura katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) ili kuidhinisha baraza la mawaziri
Aug 18, 2024 09:49Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) inaendelea na vikao vya kujadili sifa waliopendekezwa kuwa mawaziri katika serikali ya awamu 14 kabla ya kupigiwa kura.
-
Iran: Baka la aibu la Mapinduzi ya kijeshi ya 1953 litabakia milele kwenye mapaji ya nyuso za US na UK
Aug 18, 2024 08:45Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema, baka la aibu la kuiondoa madarakani Serikali halali ya Iran iliyochaguliwa na wananchi, kupitia mapinduzi ya kijeshi ya tarehe 28 Mordad 1332 (Agosti 19, 1953) na la kuuhami Udikteta kisiasa, kiusalama na kijeshi litaendelea kubakia milele kwenye mapaji ya nyuso za tawala za Marekani na Uingereza.
-
Iran: Tuna haki ya kujibu mapigo ya mauaji ya kigaidi ya Haniyah
Aug 17, 2024 23:29Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ina haki ya kujibu kwa njia halali kitendo cha utawala wa Kizayuni wa Israel cha kumuua kigaidi Ismail Haniyah, aliyekuwa Kiongozi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas akiwa ziarani hapa mjini Tehran.
-
Putin amwalika Pezeshkian katika mkutano wa BRICS
Aug 17, 2024 23:00Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Moscow, Russia, amesema kuwa Rais Vladimir Putin wa Russia amemwalika Rais Masoud Pezeshkian kushiriki katika mkutano wa wakuu wa kundi la BRICS.
-
Rais Pezeshkian asisitiza kuchungwa misingi ya heshima, hekima na maslahi ya Iran katika uga wa kimataifa
Aug 17, 2024 07:32Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, kupanga na kuratibu uhusiano wa kimataifa kwa kuzingatia misingi ya heshima, hekima na maslahi ni miongoni mwa majukumu yanayofanyiwa kazi na serikali ya 14 ya Iran.
-
Aboutorabi Fard: Wazayuni lazima tutawatia adabu
Aug 16, 2024 08:21Imam wa muda wa Sala ya Ijumaa ya Tehran amesema kuwa, kutiwa adabu utawala wa Kizayuni ni jambo lisiloepukika na watu wote wanaelewa vyema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haitoziacha jinai hizo zipite hivi hivi.
-
"Mateka wa vita wa Iran ni nembo ya Muqawama dhidi ya adui"
Aug 16, 2024 07:16Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, Mafungwa wa Vita ni nembo ya Muqawama na kusimama kidete taifa kubwa la Jamhuri ya Kiislamu dhidi ya ubeberu na utwishaji wa maadui wa taifa hili.
-
Kinu cha nyuklia cha Iran chavunja rekodi ya kuzalisha umeme
Aug 16, 2024 00:42Kinu cha nyuklia cha Bushehr cha kusini mwa Iran kimevunja rekodi ya kuzalisha umeme kati ya vinu vyote vya nishati hiyo humu nchini ambapo katika kipindi cha siku 60 zilizopita kimeweza kuzalisha megawati 1,395,290 umeme ambao unatosheleza matumizi ya familia milioni 203.
-
Bagheri Kani: Kunyamazia ukatili wa Wazayuni kunaipa kiburi zaidi Israel
Aug 15, 2024 10:46Kaimu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema kuwa, uzoefu unaonyesha kuwa, kimya dhidi ya ukatili wa kijeshi na kiusalama wa Wazayuni kunaufanya utawala huo muovu kuwa na jeuri zaidi.
-
Kan’ani: Utawala wa Kizayuni unafanya jinai dhidi ya binadamu kwa uungaji mkono wa Marekani
Aug 15, 2024 09:55Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema: Utawala wa kigaidi na kibaguzi wa Israel unajishughulisha na kutenda jinai dhidi ya binadamu kwa uungaji mkono kamili wa serikali ya Marekani.