-
Meja Jenerali Mousavi: Tumeimarisha uwezo wa makombora yetu
Feb 05, 2026 23:26Afisa mwandamizi wa Jeshi wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu imeimarisha mifumo yake ya kujilinda kwa kuboresha makombora ya balestiki yaliyotengenezwa ndani ya nchi.
-
Russia: Tunataraji Marekani itatumia akili na busara kuhusiana na kadhia ya Iran
Feb 05, 2026 08:11Vassily Nebenzya, mwakilishi wa kudumu Russia katika Umoja wa Mataifa amesem kuwa, Moscow inatumai kwamba Marekani itatumia akili na busara kuhusiana na kadhia ya Iran.
-
Araghchi: Iran, US kufanya mazungumzo ya nyuklia Muscat
Feb 04, 2026 23:26Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi ametangaza kwamba mazungumzo ya nyuklia kati ya Jamhuri ya Kiislamu na Marekani yanatazamiwa kufanyika katika mji mkuu wa Oman, Muscat kesho asubuhi.
-
Waziri wa Usalama wa Iran aonya Magharibi kuhusu madhara ya kudai IRGC ni kundi la kigaidi
Feb 04, 2026 23:06Waziri wa Usalama wa Iran, Esmail Khatib, ameonya kuwa nchi za Magharibi zitakumbana na madhara ya hatua yao ya kulitaja Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) kuwa eti ni shirika la kigaidi.
-
Wafuasi wa Imam Mahdi wakusanyika Jamkaran kuonesha imani na tumaini siku ya Nisf Sha’ban
Feb 04, 2026 10:36Maelfu ya waumini na wafuasi wa Imam Mahdi (Mwenyezi Mungu Aharakishe Kudhihiri Kwake) wamekusanyika katika Msikiti mtukufu wa Jamkaran, mjini Qom, katika siku tukufu za mwezi wa Sha’ban, na kugeuza eneo hilo kuwa ishara yenye nguvu ya imani, mshikamano, na matarajio yenye matumaini kwa mustakabali.
-
Jalali: Madai ya Trump kwamba anawaunga mkono Wairani hayana msingi
Feb 04, 2026 07:25Balozi wa Iran nchini Russia, Kazem Jalali amepuuzilia mbali matamshi ya hivi karibuni ya Rais wa Marekani Donald Trump akidai kuwa analiunga mkono na kulisaidia taifa la Iran, akisisitiza kuwa madai hayo hayana msingi wowote.
-
Droni ya upelelezi ya Iran yakamilisha kazi yake kwa mafanikio katika maji ya kimataifa
Feb 04, 2026 04:03Droni ya doria na ya intelijinsia ya vikosi vya ulinzi vya Iran imefanikiwa kukamilisha kwa mafanikio operesheni yake katika maji ya kimataifa huku ripoti zikiarifu kuwa askari wa Marekani wameitungua ndege moja isiyo na rubani sawa na hiyo.
-
Iran yazindua miradi mitatu ya kimkakati ya teknolojia ya anga za mbali
Feb 03, 2026 23:56Iran imezindua rasmi mafanikio matatu ya kimkakati ya ndani ya nchi katika sekta za miundombinu ya anga, mawasiliano na picha za satelaiti katika kuadhimisha Siku ya Kitaifa ya Teknolojia ya Anga za Mbali
-
Iran yawaita mabalozi wa Umoja wa Ulaya kulalamikia tuhuma dhidi ya IRGC
Feb 03, 2026 23:55Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imewaita mabalozi wa nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya (EU) kuwasilisha malalamiko yake dhidi ya azimio la hivi karibuni la EU linalolenga Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).
-
Kwa nini Marekani inafuatilia sera ya "mazungumzo na vitisho kwa wakati mmoja" dhidi ya Iran?
Feb 03, 2026 07:49Utawala wa Rais Donal Trump wa Marekani umekuwa ukifuatiilia sera ya "mazungumzo na vitisho" kwa wakati mmoja dhidi ya Iran.