-
Jeshi la Iran lasema limejiandaa kulinda usalama wa taifa dhidi ya vitisho
Nov 03, 2025 23:25Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limesema limejiandaa na limesimama thabiti mbele ya vitisho vya maadui, na linaendelea kujitolea kulinda mipaka ya ardhi na mfumo wa Kiislamu.
-
Kwa nini Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inasisitiza kulinda mafanikio ya sekta ya nyuklia?
Nov 03, 2025 22:52Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametembelea Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) na kushuhudia kwa karibu mafanikio ya karibuni ya wanasayansi wa sekta ya nyuklia katika nyanja za afya, tiba na utengenezaji dawa za radiopharmaceutical na kisha kuzungumza na maafisa wa ngazi ya juu wa sekta hiyo.
-
Kiongozi wa Mapinduzi: Mzozo uliopo kati ya Iran na Marekani ni wa dhati halisi na wa migongano ya maslahi
Nov 03, 2025 09:55Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema, mzozo uliopo kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Marekani ni wa "dhati halisi" na wala hautokani na kauli mbiu; na chimbuko lake liko kwenye mgongano wa kimsingi wa maslahi; na akaeleza bayana kwamba, suala la ushirikiano na Marekani linaweza kuja kufikiriwa siku za usoni na si sasa hivi wala katika muda wa karibu,
-
Baghaei: Utawala wa Israel ulikiuka usitishaji vita Gaza tangu mwanzo
Nov 03, 2025 06:42Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran ameashiria kuendelea jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel huko Gaza na kusisitiza kuwa: "Tangu maelewano ya amani yalipoanzishwa na kuanzishwa usitishaji vita huko Gaza, badala ya dhana ya "kusitisha mapigano," tunakabiliwa na ukweli wa "ukiukaji wa usitishaji vita."
-
Iran: Tumejiandaa zaidi hivi sasa hata kuliko kabla ya vita vya siku 12
Nov 03, 2025 03:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi amesema kwamba Jamhuri ya Kiislamu imejiandaa zaidi kwa vita hivi sasa kuliko hata ilivyokuwa kabla ya vita vya siku 12 akisisitiza kwamba Tehran haiziamini ahadi za Israel wala Marekani lakini iko tayari kwa mazungumzo ya kiuadilifu yaatakayolinda haki zake zote za nyuklia.
-
Araqchi akadhibisha madai ya Marekani na Israel kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran, asema ni uongo mtupu
Nov 02, 2025 23:31Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi, kwa mara nyingine tena amepinga hatua ya Marekani na Israel ya kuhalalisha mashambulizi dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran, akiitaja kuwa ni uongo mkubwa.
-
Rais Pezeshkian: Sekta ya nyuklia ya Iran inalenga ustawi wa umma, si silaha za nyuklia
Nov 02, 2025 08:29Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesisitiza kwamba ustawi wa sekta yake ya nyuklia ya amani nchini Iran unalenga kuimarisha ustawi wa taifa, si kupata silaha.
-
Mkuu wa IAEA akiri Iran haifuatilii mpango wa kutengeneza silaha za nyuklia
Nov 01, 2025 23:46Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Nishati ya Nyuklia (IAEA) amethibitisha tena kuwa, kwa mujibu wa ukaguzi wa moja kwa moja, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haina mpango wa kutengeneza silaha za nyuklia.
-
Iran yapaa kama nguzo ya kimataifa katika sekta ya shaba
Nov 01, 2025 23:46Iran inaendelea kujiboresha kama mchezaji muhimu katika soko la kimataifa la shaba, huku rasilimali zake tajiri na miradi ya maendeleo inayoendelea ikiweka taifa hilo katika nafasi ya juu zaidi ndani ya sekta hiyo.
-
Araqchi: Hatuwezi kusimamisha urutubishaji urani
Nov 01, 2025 08:12Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, hatuwezi kusimamisha urutubishaji urani na kwamba kile ambacho maadui hawakukipata kupitia vita hakiwezi kupatikana kwa njia ya kisiasa.