-
Katibu Mkuu wa UN: Dunia isiliache mkono bara la Afrika, lina uwezo mkubwa mno
Nov 13, 2025 09:05Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, amesema dunia haiwezi kulipa kisogo bara la Afrika akisisitiza kuwa bara hilo ni nyumbani kwa karibu robo ya watu wote duniani, na lina nafasi kubwa ya maendeleo.
-
Mali yakanusha hofu kwamba magaidi wanakaribia kuudhibiti mji mkuu, Bamako
Nov 13, 2025 09:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Mali amepuuzilia mbali dhana kwamba magaidi hivi karibuni wanaweza kuudhibiti mji mkuu wa nchi hiyo, Bamako. Hii ni radiamali ya kwanza kutolewa na serikali kuhusu wasiwasi na hofu ya usalama katika nchi ya Mali ambayo imechochea nchi za Magharibi kuwataka raia wao waondoke nchini humo.
-
Al-Sudani asema, ataanza kufanya mazungumzo ya kuunda serikali mpya ya Iraq
Nov 13, 2025 08:55Waziri Mkuu wa Iraq Mohammad Shia al-Sudani amesema, ataanza kufanya mazungumzo hivi karibuni kwa ajili ya kuunda serikali mpya wakati muungano wake unaonekana kuongoza katika uchaguzi wa bunge.
-
Iran yasambaratisha mtandao wa mamluki wa Marekani na Israel
Nov 13, 2025 03:51Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran SEPAH kimesambaratisha mtandao wa kijasusi hapa nchini uliokuwa ukiendesha harakati za kuvuruga usalama na amani.
-
Kamisheni ya Umoja wa Afrika yakanusha madai ya Trump kuhusu mauaji ya Wakristo Nigeria
Nov 13, 2025 03:50Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU) amekanusha vikali madai ya Rais wa Marekani, Donald Trump, kuhusu mauaji ya kimbari dhidi ya Wakristo kaskazini mwa Nigeria.
-
Rais wa Afrika Kusini: Kutohudhuria Marekani mkutano wa G20 ni hasara kwake
Nov 13, 2025 03:48Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesema kuwa, kitisho cha Rais wa Marekani Donald Trump kwamba maafisa wa nchi yake hawatahudhuria mkutano wa G20 mjini Johannesburg ni hasara kwa Wamarekani.
-
Muungaji mkono Palestina aapishwa kuwa Rais mpya wa Ireland
Nov 13, 2025 03:46Bi. Catherine Connolly, mgombea wa mrengo wa kushoto katika uchaguzi wa urais nchini Ireland ambaye anajulikana kwa misimamo yake ya kuunga mkono Palestina, ameapishwa kuwa rais mpya wa Ireland baada ya kuibuka mshindi katika uchaguzi wa mwezi uliopita.
-
Dkt. Mwigulu Nchemba ateuliwa Waziri Mkuu mpya wa Tanzania
Nov 13, 2025 02:52Rais Samia Suluhu Hassan leo amewasilisha bungeni jina la Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu mpya wa serikali ya awamu ya sita ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
-
Rais wa Afrika Kusini: Kutohudhuria Marekani mkutano wa G20 ni hasara kwake
Nov 13, 2025 02:31Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesema kuwa, kikitisho cha Rais wa Marekani Donald Trump kwamba maafisa wa nchi yake hawatahudhuria mkutano wa G20 mjini Johannesburg ni hasara kwa Wamarekani.
-
Aragchi: UN ichukue hatua baada ya Trump kukiri jukumu katika mashambulizi ya Israel dhidi ya Iran
Nov 12, 2025 23:34Katika barua rasmi kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran Abbas Araghchi amelaani Marekani kwa jukumu lake katika kuunga mkono uchokozi wa kijeshi wa Israeli dhidi ya Iran mnamo Juni, kufuatia kauli za Rais Donald Trump akithibitisha usimamizi wa Marekani juu ya mashambulizi hayo.