-
Rais wa Niger: Ufaransa inatekeleza njama za kuvuruga nchi yake
Nov 11, 2025 23:01Rais wa Niger, Abdourahamane Tchiani, ameishutumu vikali Ufaransa kwa kuhusika katika njama za kuichafua na kuidhoofisha nchi yake.
-
Marekani na Uingereza; madai ya uongo kuhusu haki za binadamu
Nov 11, 2025 23:01Ripoti kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu nchini Marekani na Uingereza zimechapishwa na Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran.
-
Kwa nini Iran inaunga mkono mamlaka ya kujitawala na umoja wa ardhi ya Sudan?
Nov 11, 2025 07:25Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza uungaji mkono wa Tehran kwa haki ya mamlaka ya kujitawala Sudan.
-
Brigedia Jenerali Belali: Nguvu ya makombora ya Iran imeanza na mizinga
Nov 11, 2025 07:22Mshauri wa Kamanda wa Kikosi cha Anga cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amesema: Kitengo cha mizinga cha Iran kiliundwa katika Operesheni Fat'h al-Mobin na baadaye Iran ikafikia kwenye utengenezaji wa makombora. Nguvu yetu ya sasa ni matunda ya miaka minane ya kujihami kutakatifu ambayo yalianzishwa na Hajj Hassan Tehrani-Moghaddam.
-
Trump awakatia msaada ya chakula watu maskini nchini Marekani
Nov 11, 2025 07:21Huku mamilioni ya Wamarekani wakiendelea kupambana na ukosefu wa usalama wa chakula na uhaba wa chakula, utawala wa Trump umeamuru kukatwa kikamiifu msaada wa chakula kwa familia zenye kipato cha chini.
-
UN yazindua jukwaa la kidijitali ili kuongeza ushiriki wa vijana katika mazungumzo Libya
Nov 11, 2025 07:21Shirika la Misaada la Umoja wa Mataifa nchini Libya (UNSMIL) limezindua jukwaa la kidijitali kwa vijana wa Libya, kwa shabaha ya kuimarisha ushiriki wao katika mchakato wa mazungumzo ya kisiasa uliopangwa kufanyika nchini humo siku zijazo.
-
Wahamiaji wanaorejea Guinea waelezea magumu wanayokabiliana nayo
Nov 11, 2025 07:20Maelfu ya raia wa nchi za Afrika wamerejea katika nchi zao kwa msaada wa mpango wa hiari wa Shirika la Kimataifa la Uhamiaji la Umoja wa Mataifa IOM na kuelezea matatizo makubwa waliyokumbana nayo wakiwa katika ukimbizi.
-
WHO: Zaidi ya wagonjwa 16,000 huko Gaza wanasubiri kupelekwa nje kwa ajili ya matibabu
Nov 11, 2025 07:15Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kuwa wagonjwa wasiopungua 16,500 katika Ukanda wa Gaza wanasubiri kupelekwa nje kwa ajili ya matibabu na kusisitiza kuwa suhula zake za tiba ziko tayari mpakani lakini haziwezi kuingia katika eneo hilo kufuatia Israel kufunga vivuko hivyo.
-
Araqchi: Magharibi haina chaguo ila kuitambua Iran kama 'kitovu cha sayansi ya nyuklia'
Nov 11, 2025 04:28Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi, amesema kuwa nchi za Magharibi hatimaye hazitakuwa na budi ila kuitambua Iran kama kitovu cha kisayansi cha sekta ya amani ya nyuklia.
-
IOM: Hatua za haraka zinahitajika ili kuwanusuru mamilioni ya raia walioathiriwa na vita Sudan
Nov 11, 2025 04:21Shirika la Kimataifa la Uhamaji (IOM) limetaka kuchukuliwa hatua za haraka ili kuwasaidia mamilioni ya raia walioathiriwa na vita vya Sudan kati ya jeshi la nchi hiyo na wanamgambo wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF).