-
Iran kuzindua satelaiti 3 mwanzoni mwa msimu wa baridi
Nov 11, 2025 04:16Hassan Salarieh, mkuu wa Shirika la Anga za Juu la Iran (ISA) ametangaza mipango ya kurusha kwenye obiti satelaiti tatu zilizoundwa hapa nchini kama sehemu ya jitihada za kuboresha mpango wa anga za juu wa nchi.
-
UN: Israel inaendelea kuzuia misaada ya kibinadamu kuingia Gaza
Nov 11, 2025 04:07Umoja wa Mataifa umesema Israel inaendelea kuzuia misaada ya kibinadamu kuingia huko Gaza; mwezi mmoja baada ya kuanza kutekelezwa makualiano ya kusimamisha vita.
-
Amnesty International yaitaka Nigeria kuwaondoa hatiani wanaharakati tisa waliouawa miaka 30 iliyopita
Nov 11, 2025 02:45Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeitaka serikali ya Nigeria kuwafutia kabisa hatia wanaharakati tisa wa mazingira waliouawa miaka 30 iliyopita, ambao walipigania kulinda eneo la Niger Delta kutokana na shughuli za kampuni kubwa ya mafuta ya Shell.
-
Kwa nini vikwazo vya mafuta dhidi ya Iran vimefeli?
Nov 10, 2025 23:49Shirika la Kimataifa la Ufuatiliaji wa Meli za Mafuta, katika ripoti yake mpya, limesema kuwa mauzo ya nje ya mafuta ghafi ya Iran yamefikia kiwango cha juu zaidi katika kipindi cha miaka saba iliyopita.
-
Larijani: Nchi za Magharibi hazistahili kutoa maoni kuhusu uwezo wa makombora ya Iran
Nov 10, 2025 23:45Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema nchi za Magharibi zinatumia uwezo wa makombora wa nchi hii kama njia ya kutekeleza mashinikizo yao na kusisitiza kuwa nchi hizo hazipasi kuzungumzia suala hilo.
-
Mkurugenzi Mkuu wa WHO ataka kusitishwa umwagaji damu nchini Sudan
Nov 10, 2025 23:39Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ametaka kusitishwa ghasia nchini Sudan baada ya kuuawa daktari katika mji ulioathiriwa na vita wa Al Fasher.
-
Kiongozi wa mapinduzi ya Guinea, Mamady Doumbouya aidhinishwa kuwania urais
Nov 10, 2025 23:35Kiongozi wa mapinduzi ya kijeshi wa Guinea Conakry, Mamady Doumbouya na wagombea wengine wanane wameidhinishwa kugombea katika uchaguzi wa rais mwezi ujao. Hii ni kwa mujibu wa orodha ya wagombea wa kiti cha urais iliyotolewa na Mahakama Kuu ya nchi hiyo.
-
Magaidi 200 wauawa katika mapigano kati ya makundi hasimu ya kigaidi nchini Nigeria
Nov 10, 2025 23:26Mapigano kati ya makundi hasimu ya kigaidi kaskazini mashariki mwa Nigeria yamesababisha vifo vya magaidi wasiopungua 200 katika eneo la Ziwa Chad.
-
Binti wa Zuma akana mashtaka ya uchochezi
Nov 10, 2025 23:22Duduzile Zuma-Sambudla, bintiye rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, amekana mashtaka ya kuchochea ghasia wakati wa machafuko makubwa yaliyotokea nchini humo mwezi Julai 2021.
-
Hatari ya ushawishi wa Israel barani Afrika; Tishio lililofichika kwa uhuru wa bara Afrika
Nov 10, 2025 09:35Katika juhudi zake za kuitoa Israel kwenye hali ya kutengwa, Isaac Herzog, rais wa utawala wa Kizayuni wa Israel, anatarajiwa kuelekea barani Afrika.