-
Wanajeshi wa Kizayuni walioangamizwa tangu kuanza Kimbunga cha Al Aqsa wafika 311
Oct 29, 2023 14:26Msemaji wa jeshi la utawala wa Kizayuni amekiri kuwa hadi sasa wanajeshi 311 wa Israel wameangamizwa tangu kuanza oparesheni ya Kimbunga cha Al Aqsa.
-
Waziri Mkuu wa Canada azomewa msikitini, aambiwa "huna haya"! + Video
Oct 22, 2023 03:21Wakati wa ziara yake ya kutembelea msikiti mjini Toronto, Waziri Mkuu wa Canada amezomewa na hadhirina kotokana na msimamo wake kuhusu mauajii yanayoendelea kufanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya raia wa Ukanda wa Gaza huko Palestina ambako amepatwa na tahayuri asijue la kufanya.
-
Mapokezi makubwa ya Sheikh Ibrahim Zakzaky nchini Iran +VIDEO
Oct 12, 2023 13:38Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria alivyolakiwa na umati mkubwa mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Imamu Khomeini (RA)
-
Jinsi Sheikh Zakzaky alivyopokewa Iran+VIDEO
Oct 12, 2023 13:35Sheikh Ibrahm Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria aliwasili mjini Tehran siku ya Jumatano na kulakiwa umati mkubwa wa wananchi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Imamu Khomeini (RA)
-
UN yakosoa ubaguzi wa rangi uliopo katika mfumo wa utoaji haki wa Marekani
Oct 01, 2023 03:39Wataalamu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa wamekosoa vikali ubaguzi wa rangi uliopo katika mfumo wa utoaji haki wa Marekani.
-
Raia wa Niger washambulia lori la Ufaransa lililokuwa limebeba maji
Sep 30, 2023 15:46Raia wa Niger wamelishambulia lori la Ufaransa lililokuwa limebeba maji kwa ajili ya wanajeshi wa nchi hiyo walioko nchini humo kinyume cha sheria.
-
Kashif Asrar: Umoja wa Kiislamu ni nembo ya mshikamano wa Waislamu
Sep 30, 2023 15:46Mwanazuoni wa madhehebu ya Suni nchini Ghana amesema kuwa, umoja wa Kiislamu chini ya uongozi wa Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, unastahiki sifa na ni nembo ya mshikamano wa Waislamu.
-
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya la Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu: Iran imejenga matumaini katika nyoyo za Waislamu
Sep 28, 2023 03:01Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu amesema: Makubaliano ya kieneo na ya kimataifa yaliyoundwa duniani chini ya usimamizi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yameibua matumaini katika nyoyo za Waislamu duniani.
-
Ufaransa yakumbwa na maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi
Sep 25, 2023 04:59Maelfu ya wananchi wa Ufaransa jana Jumapili waliandamana katika mitaa mbalimbali ya mji mkuu Paris na katika miji mingine nchini humo wakilalamikia ubaguzi wa rangi wa kimfumo unaoendelea kushuhudiwa nchini humo.
-
Amir- Abdollahian: Maneno na vitisho vya utawala bandia wa Kizayuni havina nafasi
Sep 25, 2023 04:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa hii leo Wazayuni wamedhoofika pakubwa na hakuna anayebabaishwa na vitisho vya utawala huo.