-
Netanyahu amramba miguu Trump amuokoe na kitanzi cha kesi mahakamani
Dec 03, 2025 06:37Duru za kuaminika za Marekani na Israel zimefichua kuwa, waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu amemuomba kwa kumsisitiza rais wa Marekani, Donald Trump afanye kila awezalo kuhakikisha kuwa anafutiwa kesi zake za ufisadi.
-
Utajiri wa madini ya Yemen na jicho la tamaa la madola ya kibeberu
Dec 03, 2025 02:22Yemen imegundua utajiri mkubwa wa rasilimali za madini, ikiwa ni pamoja na akiba kubwa ya dhahabu, chuma, titani na madini ya viwandani. Rasilimali hizi zinaweza kufungua njia ya maendeleo ya kiuchumi na kuimarisha nafasi ya kimkakati ya Yemen katika eneo hili zima.
-
Watetezi wa Haki za Binadamu wataka ICC iwakamate Netanyahu na Gallant kwa uhalifu wa vita Gaza
Dec 02, 2025 13:23Kundi la mashirika ya kimataifa ya haki za binadamu limeitaka Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kutekeleza hati za kukamatwa zilizotolewa dhidi ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na aliyekuwa waziri wa masuala ya kijeshi Yoav Gallant, kwa uhalifu wa vita uliofanywa katika vita vya mauaji ya halaiki Gaza.
-
Ma'ariv: Jeshi la Israel limechoka baada ya miaka miwili ya vita
Dec 02, 2025 02:42Chombo cha habari cha Kizayuni kimefichua katika ripoti yake kwamba baada ya miaka miwili na miezi miwili ya vita vikali katika pande saba, jeshi la Israel limechakaa, maafisa wake wamechoka, na wanajeshi wana ndoto ya kurudi majumbani mwao.
-
Maelfu ya Waisrael wafurika kwenye ubalozi wa Ureno Tel Aviv kuomba uraia wa nchi hiyo
Dec 01, 2025 05:44Tovuti ya gazeti la kizayuni la Times of Israel imeripoti kuwa, maelfu ya Waisrael wamepanga foleni ndefu mbele ya ubalozi wa Ureno mjini Tel Aviv kwa lengo la kuomba uraia wa nchi hiyo.
-
Ripoti: Wayahudi huwatemea mate watalii Wakristo wanaotembelea Quds (Jerusalem)
Dec 01, 2025 02:47Ripoti mpya imeibua taswira ya matukio ya unyanyasaji na mashambulizi unaotekelezwa na Wayahudi dhidi ya wageni Wakristo wanaotembelea Mji wa Kale wa al-Quds (Jerusalem).
-
UN yalaani sera ya Israel ya mateso ya kupangwa dhidi ya Wapalestina
Nov 30, 2025 12:42Kamati ya Umoja wa Mataifa dhidi ya Mateso (CAT) imeulaani utawala wa Israel kwa kutekeleza sera ya "mateso ya kupangwa" dhidi ya Wapalestina.
-
Changamoto mbili zinazoutesa utawala wa Kizayuni baada ya vita vya siku 12 dhidi ya Iran
Nov 30, 2025 09:49Katika ripoti yake ya hivi karibuni kabisa, tovuti ya Middle East Eye imefanya uchunguzi kuhusu changamoto zinazoikabili Tel Aviv baada ya vita vya kivamizi na kichokozi vya siku 12 ilivyovianzisha dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Rais wa Pakistan: Israel lazima iwajibike kwa uhalifu wa kivita Gaza
Nov 30, 2025 07:39Rais wa Pakistan Asif Ali Zardari ametoa pongezi kwa wananchi wa Palestina katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mshikamano na Palestina akisema: "Juhudi na ujasiri wenu usio wa kuchoka umeunda sura mpya katika historia."
-
Foleni za watu wenye njaa huko Ghaza zimezidi kuwa ndefu + Picha
Nov 30, 2025 02:36Licha ya kusitishwa mapigano huko Ghaza, lakini bado mateso ya njaa na ukosefu wa usalama na utulivu wa nafsi yanaendelea kuzisumbua familia za Wapalestina. Foleni ndefu za watu wenye njaa wanaosubiri kupata angalau mlo mmoja kwa siku zinaendelea kuonekana katika pembe mbalimbali za ukanda huo huku jeshi katili la Israeli likiendeleza mashambulizi ya mara kwa mara na kuzuia kuwafikia misaada wananchi hao wasio na ulinzi.