-
Wanajeshi wa Kizayuni washambulia maeneo mbalimbali katika Ukingo wa Magharibi
Nov 25, 2024 10:06Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa mara nyingine tena wameshambulia maeneo mbalimbali ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan. Wapalestina kadhaa wameuawa shahidi na wengine kujeruhiwa katika hujuma hiyo ya Wazayuni.
-
Mkuu wa hospitali ya Gaza aliyejeruhiwa aomba msaada huku Israel ikitekeleza maangamizi
Nov 25, 2024 09:47Mkurugenzi wa hospitali ya Gaza ambayo imezingirwa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel ametoa wito kwa jamii ya kimataifa kuhitimisha maangamizi inayoendelea kufanywa na utawala huo kaskazini mwa Palestina.
-
Hizbullah yashambulia vituo vya Israel kwa kutumia ndege zisizo na rubani, makombora
Nov 25, 2024 04:33Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imefanya mashambulizi makubwa ya makombora na ndege zisizo na rubani dhidi ya Israel, ikilenga maeneo ya ndani kabisa ya ardhi zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Sami Abu Zuhri: Gaza itasalia kuwa ardhi ya Palestina
Nov 25, 2024 04:32Kiongozi wa ngazi za juu wa harakati ya Hamas amesema: "Utawala ghasiibu wa Israel una dhana kwamba unaweza kufikia malengo yake, lakini Gaza iko na itasalia kuwa eneo la ardhi ya Palestina."
-
Kukata tamaa kwa utawala wa Kizayuni dhidi ya makundi ya muqawama
Nov 25, 2024 01:08Licha ya uungaji mkono wa pande zote wa Ikulu ya White House kwa Tel Aviv, utawala wa Kizayuni hauna uwezo wa kukabiliana na makundi ya muqawama ya Palestina na Hizbullah ya Lebanon katika vita hivyo.
-
UN yasisitiza kuhitimishwa vita Ukanda wa Gaza na Lebanon
Nov 24, 2024 23:43Mjumbe Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na masuala ya Syria ametaka kuhitimishwa vita katika Ukanda wa Gaza na Lebanon.
-
Jeshi la Israel linaendelea kuteketeza roho za watu wasio na hatia Ghaza na Lebanon
Nov 24, 2024 07:59Katika siku ya 416 ya vita dhidi ya Ukanda wa Ghaza, utawala wa Kizayuni unaendeleza mashambulizi ya kinyama na mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina wa eneo hilo na vilevile wananchi wa maeneo mbalimbali ya Lebanon.
-
Ayatullah Sistani alaani mauaji dhidi ya Mashia nchini Pakistan
Nov 23, 2024 23:01Ayatullah Sayyid Ali Sistani, Kiongozi wa juu wa kidini na Marjaa-Taqlidi wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq amelaani shambulio la magaidi wa kitakfiri dhidi ya kundi la watu wa mji wa Shia wa Parachinar, Pakistan.
-
Kim Jong Un: Marekani inachangia kuongezeka mivutano duniani
Nov 23, 2024 23:00Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ameishutumu Marekani kwa kuongeza mivutano na uchokozi na kueleza kwamba, amesema rasi ya Korea haijawahi kukabiliwa na hatari ya vita vya nyuklia kama sasa.
-
Ripoti: Wanajeshi sita wa Israel wamejinyonga kutokana na vita Gaza
Nov 23, 2024 08:08Takriban wanajeshi sita wa Israel wameripotiwa kujiua katika miezi ya hivi karibuni, kutokana na matatizo ya kisaikolojia yaliyosababishwa na vita vya muda mrefu dhidi ya Gaza na Lebanon.