-
Kan TV: Askari 17 wa Israel wameuawa katika mashambulizi ya Hizbullah
Mar 21, 2024 06:42Vyombo vya habari vya Kizayuni vimetangaza kuwa, wanajeshi 17 wa utawala wa haramu wa Israel wameangamizwa katika mashambulizi ya Harakati ya Hizbullah ya Lebanon.
-
Wahudumu zaidi ya 100 wa kugawa chakula wameuwa Gaza
Mar 21, 2024 04:45Idara ya Habari ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina katika Ukanda wa Gaza imetangaza kuwa zaidi ya wasambazaji 100 wa chakula katika Ukanda wa Gaza wameuawa shahidi katika mashambulizi ya utawala ghasibu wa Israel.
-
Muqawama wa Iraq washambulia uwanja wa ndege Tel Aviv
Mar 20, 2024 23:23Kwa mara nyingine tena wanamuqawama wa Iraq wameshambulia Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion katika mji mkuu wa utawala haramu wa Israel, Tel Aviv.
-
Israel: Tumeua watu 90 katika Hospitali ya al-Shifa
Mar 20, 2024 22:41Jeshi la utawala haramu wa Israel limekiri na kutangaza wazi kuwa askari wake wameua Wapalestina 90 katika uvamizi na hujuma ya siku mbili katika Hospitali ya al-Shifa huko katika Ukanda wa Gaza.
-
Mshauri wa zamani wa White House ametaka Wapalestina wahamishwe Ghaza na kupelekwa jangwani
Mar 20, 2024 08:03Mshauri wa zamani wa Ikulu ya Marekani (White House) Jared Kushner amesema, utawala wa Kizayuni wa Israel inapasa uwaondoe Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza na kuwahamishia kwenye jangwa la Negev kusini mwa ardhi zilizopachikwa jina bandia la Israel.
-
Qatar: Tuna matumaini ya kupatikana usitishaji vita Ukanda wa Ghaza
Mar 19, 2024 23:28Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar amesema kuwa, kumeshuhudiwa maendeleo mazuri kwenye mazungumzo ya kusimamisha vita na ana matumaini mazungumzo hayo yatazaa matunda mazuri.
-
Yemen: Oparesheni dhidi ya meli za Israel zitaendelea
Mar 19, 2024 08:17Wizara ya Mambo ya Nje ya serikali ya uokovu wa kitaifa ya Yemen imesisitiza leo katika radiamali yake kwa taarifa ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu oparesheni za kijeshi za vikosi vya ulinzi vya nchi hiyo katika Bahari Nyekundu kuwa oparesheni hizo zitaendelea dhidi ya utawala wa Kizayuni hadi hapo utawala huo utakapositisha jinai zake katika Ukanda wa Gaza.
-
Thomas Friedman: Netanyahu ndiye kiongozi mbaya zaidi katika historia ya Kiyahudi
Mar 19, 2024 04:26Mwandishi na mwanahabari wa Marekani, Thomas Friedman, amesema kuwa Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ataingia katika historia kama kiongozi mbaya zaidi katika historia ya Kiyahudi.
-
UN yasema 'imeshtushwa' na mashambulizi mabaya ya anga dhidi ya Waislamu wa Rohingya
Mar 19, 2024 04:26Msemaji wa Umoja wa Mataifa amesema Katibu Mkuu wa umoja huo, António Guterres, "amesikitishwa" na ripoti za mashambulizi ya anga yanayoendelea nchini Myanmar ambayo yameua zaidi ya raia 20 katika kitongoji cha Minbya katika Jimbo la Rakhine siku ya Jumatatu.
-
Jeshi la Israel lashambulia tena Hospitali ya Al-Shifa, laua na kujeruhi kadhaa
Mar 18, 2024 08:24Vikosi vya jeshi la utawala wa Israel vilivyojizatiti kwa silaha nzito vimevamia hospitali ya al-Shifa katika mji wa Ghaza kwa kutumia vifaru na ndege zisizo na rubani na kuwafyatulia risasi watu waliokuwa ndani ya jengo hilo.