-
Matokeo ya mwisho ya uchaguzi wa Pakistan
Feb 13, 2024 03:48Tume ya Uchaguzi ya Pakistani imetangaza matokeo ya mwisho ya uchaguzi wa bunge nchini humo, na wagombea huru wenye mfungamano na chama cha Tehreek-e-Insaf cha Imran Khan wamenyakua viti 101.
-
Viongozi wa Muqawama: Vita vya Ghaza si vita vya mwisho na Wazayuni
Feb 12, 2024 22:58Viongozi wa makundi mbalimbali ya muqawama wa Palestina wameonana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Damascus Syria na kusisitiza kuwa, mapambano ya taifa la Palestina tangu Wazayuni walipovamia ardhi za taifa hilo zaidi ya miaka 75 iliyopita, vimekuwepo na vitaendelea hadi kila shibri ya ardhi ya Palestina itakapokombolewa.
-
Mapitio ya safari ya kieneo ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran
Feb 12, 2024 22:55Sambamba na kuendelea kutokota mgogoro katika eneo la Asia Magharibi na kuendelea mauaji ya halaiki ya Wazayuni maghasibu huko Gaza Palestina, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya safari katika mataifa ya Lebanon na Syria.
-
Jeshi la Yemen latekeleza operesheni nyingine dhidi ya meli ya Marekani katika Bahari Nyekundu
Feb 12, 2024 06:51Msemaji wa jeshi la Yemen ametangaza kuwa vikosi vya ulinzi vya nchi hiyo vimetekeleza operesheni nyingine dhidi ya meli ya Marekani katika Bahari Nyekundu.
-
Mauaji ya kimbari ya Israel dhidi ya Gaza: Raia 100 wauawa Rafah, mamia wajeruhiwa
Feb 12, 2024 04:31Utawala katili wa Israel umeendeleza mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza kwa kutekeleza mashambulizi makubwa ya anga na mizinga katika mji wa Rafah kusini mwa ukanda huo na kuua na kujeruhi mamia ya raia, wengi wao wakiwa wanawake na watoto.
-
Zaidi ya wanajeshi 11 wa Israel wauawa katika "shambulio kubwa" huko Khan Yunis
Feb 12, 2024 01:09Vyombo vya habari vya Israel vimeripoti kwamba, jeshi la utawala huo ghasibu limekabiliwa na shambulio kubwa na la kushtukiza la wapiganaji wa Wapalestina huko Khan Yunis, kusini mwa Ukanda wa Gaza, ambalo limeua zaidi ya wanajeshi 11 wa utawala huo.
-
Hizbullah yaonya dhidi ya sera ya kupenda vita ya Israel
Feb 12, 2024 01:07Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema mrengo wa muqawama haujatangaza vita kamili, lakini iwapo Israel itapanua vita vyake vya Gaza, wanamuqawama hawatasita kufanya mashambulizi ya kujibu chokochoko za adui huyo mpenda vita.
-
Kukiri Netanyahu kuweko mgogoro mkubwa wa kiuchumi Israel
Feb 11, 2024 22:48Benjamin Netanyahu, waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni amekiri kwamba utawala dhalimu wa Israel umekumbwa na mgogoro mkubwa wa kiuchumi hivi sasa.
-
Wanajeshi saba wa Israel waangamizwa na muqawama Khan Yunis
Feb 11, 2024 00:33Wanajeshi saba wa utawala vamizi wa Israel wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika mji wa Khan Yunis huko Palestina.
-
Kukiri UN juu ya nafasi chanya ya Iran katika matukio ya Asia Magharibi
Feb 11, 2024 00:31Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameeleza wasiwasi wake kuhusu kuenea hali ya mivutano katika eneo la Magharibi mwa Asia na kusema Iran ina nafasi chanya na yenye taathira katika matukio ya eneo hilo na katika kurejesha amani na utulivu.