-
Ulimwengu wa Kiarabu walaani kuvunjiwa heshima tena Qur’ani Tukufu nchini Uholanzi
Sep 25, 2023 09:54Kitendo cha kuvunjiwa heshima tena kitabu kitakatifu cha Qur’ani huko nchini Uholanzi kimekabiliwa na malalamiko na laana za Baraza la Ushirikiano wa Ghuba la Uajemi, Bunge la Kiarabu na nchi za Kiarabu za eneo la Asia Magharibi.
-
OIC yatoa mwito wa kusitishwa jinai za utawala wa Kizayuni
Sep 25, 2023 09:42Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu imelaani kushadidi jinai zinazofanywa na vikosi vya utawala ghasibu katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina na kutaka kukomeshwa vitendo hivyo.
-
Ansarullah: Ukaliaji mabavu wa Marekani hautadumu
Sep 25, 2023 01:20Mwakilishi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen ametaja uwepo wa vikosi vamizi vya nchi za Magharibi na Marekani huko Yemen kuwa ni ukaliaji mabavu na akasema, takwa la wananchi wote wa Yemen ni kuondoka kwa vikosi hivyo vamizi.
-
Watoto wa Kipalestina; wahanga wakuu wa siasa za jinai za Israel katika Ukanda wa Gaza
Sep 24, 2023 23:14Kanali ya Al-Arabi imeripoti kwamba zaidi ya asilimia 70 ya watoto wa Ukanda wa Gaza wanakabiliwa na matatizo mengi ya kiafya na kimwili yakiwemo ya upungufu wa damu.
-
Hamas yaishukuru Afrika Kusini kwa kuwaondolea visa Wapalestina
Sep 24, 2023 07:24Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeishukuru serikali ya Afrika Kusini kwa kuwaondolea visa Wapalestina.
-
Yemen miaka 9 baada ya Septemba 21, 2014; kuanzia vitani hadi kwenye uundaji wa serikali yenye mafanikio ya Ansarullah
Sep 24, 2023 03:18Miaka 9 imepita tangu Septemba 21, 2014 na kufikiwa makubaliano ya Ansarullah na serikali ya Abd Rabbu Mansour Hadi, ambapo hali ya kisiasa ya Yemen imebadilika sana.
-
Hamas: Congo DR inapaswa kuangalia upya uamuzi wa kuhamishia ubalozi wake Quds
Sep 24, 2023 02:28Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imelaani uamuzi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuhamisha ubalozi wake kutoka Tel Aviv hadi Quds inayokaliwa kwa mabavu (Jerusalem) na kutaka kuangaliwa upya uamuzi huo.
-
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Russia na Uturuki wakutana New York kujadili mgogoro wa Syria
Sep 23, 2023 23:45Sambamba na juhudi zinazoendelea za kidiplomasia za kuushughulikia mgogoro wa Syria, mawaziri wa mambo ya nje wa Iran, Russia na Uturuki wamefanya mkutano wa pande tatu katika muktadha wa Mazungumzo ya Astana kwa ajili ya kujadili njia za kurejesha amani na utulivu katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Iran: Hotuba ya Netanyahu katika UN inashabihiana na 'onyesho la vichekesho'
Sep 23, 2023 11:07Ujumbe wa kidiplomasia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa umepuuzilia mbali madai yasiyo na msingi ya waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni Israel Benjamin Netanyahu na kusema ni "maonesho ya vichekesho" dhidi ya mpango wa amani wa nyuklia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na shughuli zake za kieneo katika kikao cha 78 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.
-
Umuhimu wa safari ya Bashar al Assad huko China
Sep 23, 2023 08:02Rais Bashar al Assad wa Syria Alhamisi ya juzi tarehe 21 Septemba aliwasili katika mji wa Hangzhou mashariki wa China kwa lengo la kushiriki katika hafla ya ufunguzi wa michezo ya Asia ya Hangzhou na kukutana na kufanya mazungumzo na Rais Xi Jin Ping wa nchi hiyo.