-
Iraq: Baada ya uchunguzi kukamilika tutatoa jibu kwa mashambulio ya Uturuki
Jun 17, 2022 22:30Wizara ya mambo ya nje ya Iraq imelaani shambulio la kijeshi la Uturuki katika eneo la Sinjar na kusisitiza kuwa baada ya kukamilisha uchunguzi, itachukua hatua zinazolazimu dhidi ya Ankara.
-
Wapalestina 3 wauawa shahidi na jeshi la Israel mjini Jenin
Jun 17, 2022 06:56Jeshi katili la utawala haramu wa Israel limewaua shahidi vijana watatu wa Kipalestina katika mji wa Jenin, kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Mfalme wa Saudia aibembeleza Qatar iimarishe uhusiano na Riyadh
Jun 17, 2022 06:55Mfalme wa Saudi Arabia, Salman bin Abdulaziz amemuandikia barua Amir wa Qatar, Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani akiiomba Doha ichukue hatua za kuimarisha uhusiano wa pande mbili na Riyadh.
-
Faisal al-Miqdad: Erdoğan anataka kusambaza magaidi kaskazini ya Syria
Jun 16, 2022 23:13Waziri wa mambo ya nje wa Syria amesema, lengo la rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki la kuanzisha ukanda wa usalama kaskazini ya Syria ni kuweka magaidi katika eneo hilo.
-
Human Right Watch: Mzingiro dhidi ya Ukanda wa Gaza ni jinai dhidi ya binadamu
Jun 15, 2022 23:21Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limetangaza kuwa, mzingiro dhidi ya Ukanda wa Gaza huko Palestina unaofanywa na utawala wa Kizayuni wa israel ni jinai dhidi ya binadamu.
-
Yemen: Tutashambulia vituo vya mafuta vya Saudia ikiendelea kuiba mafuta yetu
Jun 15, 2022 07:18Ofisa wa ngazi ya juu wa Yemen ameonya kuwa, vikosi vya jeshi la Yemen vitashambulia vituo vya mafuta ndani kabisa ya Saudi Arabia, iwapo muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Riyadh utaendelea kupora mafuta wa Wayemen.
-
Kauli zisizo za kirafiki za Fuad Hussein; ulazima wa kutoa ufafanuzi uko kwa Iran au Iraq?
Jun 15, 2022 03:39Waziri wa mambo ya nje wa Iraq, kwa mara ya kwanza ametoa matamshi ya kuituhumu Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwamba inaingilia masuala ya ndani ya nchi yake na kudai kuwa uhusiano wa Iran na Iraq umetoka kwenye hatua ya "ukimya" na kufikia hatua ya kuhitajika "ufafanuzi".
-
Viongozi wanane wa magaidi wa ISIS waangamizwa kaskazini mwa Iraq
Jun 15, 2022 02:59Vikosi vya kulinda usalama vya Iraq vimeshambulia maficho ya magaidi wa Daesh (ISIS) katika mkoa wa Salahuddin wa kaskaizni mwa nchi hiyo na kuangamiza viongozi wasiopungua wanane wa genge hilo la ukufurishaji.
-
Nujaba: Hashdu Shaabi itaendelea kupambana na ugaidi wa US, Israel nchini Iraq
Jun 14, 2022 22:00Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya al-Nujaba nchini Iraq amesema Jeshi la kujitolea la wananchi wa Iraq la al-Hashdu-Sha'abi limefanikiwa kuzima njama nyingi za maadui dhidi ya taifa hilo la Kiarabu, na litaendelea kupambana na ugaidi wa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel nchini humo.
-
Jenerali wa Kizayuni akiri: Israel haitashinda katika vita vijavyo
Jun 13, 2022 22:50Jenerali mmoja wa jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ameashiria udhaifu wa jeshi la utawala huo na kusisitiza kuwa, endapo hali hiyo haitabadilika, Israel haitashinda katika vita vijavyo.