-
Askari wanne wa Kizayuni, Wapalestina watatu wajeruhiwa katika mapigano yaliyotokea Msikiti wa Al Aqsa
May 31, 2022 22:25Askari wanne wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na Wapalestina watatu wamejeruhiwa katika mapigano yaliyotokea Jumanne kati ya jeshi la Kizayuni na Wapalestina katika msikiti wa al Aqsa.
-
Matukio 191 ya mapigano yamejiri Palestina kupinga 'maandamano ya bendera'
May 31, 2022 07:49Katika muda wa masaa 48 yaliyopita maeneo mbalimbali ya Ufukwe wa Magharibi yamekuwa uwanja wa makabiliano na mapigano makali baina ya Wapalestina na Wazayuni yaliyotokana na upinzani wa Wapalestina dhidi ya 'maandamano ya bendera' yaliyofanywa na walowezi wa Kizayuni.
-
Wayemeni watumia makombora kufikisha chakula maeneo yaliyowekewa mzingiro
May 31, 2022 06:53Wayemen wamebuni njia mpya ya kufikisha misaada ya chakula kwa raia waliowekewa mzingiro katika wilaya ya Ad Durayhimi mkoani Al-Hudaydah.
-
Safari ya kwanza ya ndege ya biashara kutoka Sana'a kuelekea Cairo baada ya miaka 6
May 31, 2022 03:08Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen imetangaza habari ya kuanza safari ya kwanza ya ndege kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sana'a kuelekea Cairo Misri ikiwa ni mara ya kwanza katika kipindi cha miaka sita.
-
Hamas: Mapambano dhidi ya utawala wa Kizayuni yanaendelea hadi mwisho
May 31, 2022 03:04Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, mapambano dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel yataendelea hadi wavamizi hao wa ardhi za Palestina na za Waislamu watakapotimuliwa kikamilifu katika ardhi hizo.
-
Israel: Tumo mbioni kufanikisha mpango wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na Saudia
May 31, 2022 03:02Waziri wa mambo ya nje wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa Tel Aviv inaendeleza mashauriano na Marekani na nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi juu ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na Saudi Arabia.
-
Afisa usalama wa Saudia akutwa na kilo 18 za vidonge vya kulevya uwanja wa ndege wa Beirut, Lebanon
May 30, 2022 22:41Afisa mmoja wa usalama wa Saudi Arabia amekutwa na kilo 18 za vidonge vya kulevya aina ya captagon katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Beirut, Lebanon.
-
Ansarullah yawapongeza Wapalestina kwa kusimama kidete kuulinda Msikiti wa al Aqsa
May 30, 2022 05:49Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen imelipongeza taifa la Palestina kwa kusimama kiume kukihami na kukilinda Kibla cha Kwanza cha Waislamu yaani Msikiti wa al Aqsa katika siku ya "Maandamano ya Bendera."
-
Taliban: Sisi si Masuni si Mashia, sisi ni Waislamu
May 29, 2022 23:40Naibu Waziri Mkuu wa serikali ya Taliban nchini Afghanistan ametoa mwito kwa Waislamu kushikamana na kuwa kitu kimoja akisisitiza kuwa, kundi la Taliban linamuheshimu Imam Jafar al Sadiq AS. Ikumbukwe kuwa Imam Sadiq AS ni Imam wa Sita wa Waislamu wa Kishia na hata fiqhi ya Jaafari ya Waislamu hao inatokana na Imam huyo.
-
Hamas yatuma salamu za hongera kwa kuachiwa huru mwanamapambano wa Kijapani
May 29, 2022 07:46Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS na Harakati ya Wananchi kwa ajili ya Ukombozi wa Palestina zimetuma salamu za hongera kwa kuachiwa huru Fusako Shigenobu, mwanamama mtetezi na muungaji mkono wa Palestina ambaye alitumikia kifungo cha miaka 20 katika jela za Japan.