-
Ulimwengu wa Michezo, Jan 29
Jan 29, 2024 06:27Huu ni mkusanyiko wa baadhi ya matukio makubwa yaliyoshuhudiwa viwanjani katika pembe mbali mbali za dunia ndani ya siku saba zilizopita.....
-
Ulimwengu wa Michezo, Jan 22
Jan 22, 2024 08:50Hujambo mpenzi msikilizaji na karibu tutupie jicho baadhi ya matukio makubwa ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa, kieneo na kimataifa.
-
Ulimwengu wa Spoti, Januari 15
Jan 15, 2024 08:25Huu ni mkusanyiko wa baadhi ya matukio makubwa ya spoti yaliyojiri ndani ya siku zilizopita, kitaifa, kieneo na kimataifa....
-
City yatwaa ubingwa Kombe la Dunia kwa Klabu+VIDEO
Dec 23, 2023 07:54Manchester City ya Uingereza imeibuka kidedea na kutwaa ubingwa wa Kombe la Dunia kwa Klabu kwa mara ya kwanza, na hivyo kuidhihirishia dunia kwa mara nyingine tena kuwa ndiyo klabu bora zaidi duniani.
-
Soka Afrika: Uganda kidedea Cecafa U18
Dec 09, 2023 11:14Timu ya taifa ya soka ya vijana ya Uganda imebuka kidedea baada ya kuichabanga Kenya mabao 2-1 katika fainali ya Mashindano ya Kandanda ya Kanda ya Afrika Mashariki na Kati Cecafa kwa vijana wenye chini ya miaka 18.
-
Kombe la Dunia U17; Ujerumani bingwa
Dec 03, 2023 10:59Kwa mara ya kwanza, Ujerumani imetwaa ubingwa wa Kombe la Dunia kwa vijana wa kiume wenye chini ya umri wa miaka 17.
-
Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini mabingwa wa Ligi ya Soka ya Afrika
Nov 13, 2023 06:17Klabu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini imetwaa ubingwa wa Kombe la Ligi ya Kandanda ya Afrika baada ya kuicharaza Wydad Casablanca jumla wa mabao 3-2 kwenye fainali ya mkondo wa pili iliyopigwa Jumapili hii ya Novemba 12.
-
Persepolis yapoteza mechi yake ya kwanza Ligi ya Klabu Bingwa Asia
Sep 20, 2023 14:08Mechi za raundi ya 1 ya Ligi ya Klabu Bingwa barani Asia zilifanyika jana Jumanne.
-
Iran yaitandika Angola 4-0 katika Fifa Day
Sep 13, 2023 04:16Timu ya taifa ya soka ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeitandika timu ya soka ya taifa ya Angola mabao 4 kwa sifuri katika mechi ya kirafiki iliyochezwa katika dimba la Azadi mjini Tehran.
-
Mabinti wa Iran watwaa ubingwa wa Asia wa mchezo wa Taekwondo
Sep 05, 2023 07:00Duru ya 12 ya Mashindano ya Vijana ya Taekwondo nchini Lebanon ilimalizika Jumatatu kwa timu ya mabinti ya Iran kutwaa taji la ubingwa wa Asia.