-
Wazayuni wenye kufurutu ada wavamia tena msikiti wa al-Aqswa
Jan 07, 2025 12:17Walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wamevamia tena msikiti mtakatifu wa wa Al-Aqswa na kufanya vitendo vya kichochezi dhidi ya kibla hicho cha kwanza cha Waislamu.
-
Wazayuni wenye misimamo mikali wavamia tena msikiti wa al-Aqswa
Oct 22, 2024 02:23Walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wamevamia tena msikiti mtakatifu wa wa Al-Aqsa kwa siku ya pili mtawalia na kufanya vitendo vya kichochezi dhidi ya kibla hicho cha kwanza cha Waislamu.
-
Jumamosi, 28 Septemba, 2024
Sep 28, 2024 02:15Leo ni Jumamosi 24 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1446 Hiijria mwafaka na 28 Septemba 2024 Miladia.
-
Iran yaionya Israel isikichezee Kibla cha Kwanza cha Waislamu
Aug 28, 2024 06:54Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametoa onyo kwa utawala wa Kizayuni na hasa serikali ya hivi sasa ya watenda jinai ambayo imepanga njama za kikhabithi dhidi ya Msikiti wa al Aqsa ambao ndicho Kibla cha Kwanza cha Waislamu ikiwaambia Wazayuni wasilichezee eneo hilo takatifu.
-
UN yakosoa azma ya Israel ya kujenga sinagogi katika Msikiti wa al-Aqsa
Aug 27, 2024 12:18Msemaji wa Umoja wa Mataifa amekosoa vikali pendekezo lililotolewa hivi karibuni na Waziri wa Usalama wa Israel, Itamar Ben Gvir, la kutaka kujenga sinagogi ndani ya Msikiti wa Al-Aqsa.
-
Imamu wa Msikiti wa Al-Aqsa: Kauli ya waziri wa Israel dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa ni hatarishi
Aug 27, 2024 06:59Imamu wa Msikiti wa Al-Aqsa Sheikh Ikrima Sabri amesema, kauli aliyotoa hivi karibuni waziri wa usalama wa ndani wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa ni hatarishi.
-
84% ya Misikiti ya Gaza imeharibiwa na mabomu ya Wazayuni
Aug 22, 2024 03:06Asilimia 84 ya Misikiti katika Ukanda wa Gaza huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu imeharibiwa na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Jumatano, Agosti 21, 2024
Aug 21, 2024 04:53Leo ni Jumatano tarehe 16 Mfunguo Tano Safar 1446 Hijria, mwafaka na tarehe 21 Agosti 2024 Milaadi.
-
Bagheri Kani: Uvamizi wa Wazayuni katika Msikiti wa Al-Aqsa unalenga kuzidisha mivutano
Aug 14, 2024 07:37Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uvamizi wa baadhi ya mawaziri wa serikali ya utawala bandia wa Israel na walowezi wa Kizayuni katika msikiti wa al Aqsa ni hatua ya kichochezi inayolenga kushadidisha mivutano na ukosefu wa amani katika eneo.
-
Utawala wa Kizayuni wamkamata Khatibu wa Msikiti wa al-Aqsa, kisa kutoa pole mauaji ya Shahidi Ismail Haniyeh
Aug 03, 2024 06:52Utawala wa Kizayuni wa Israel umemkamata Khatibu wa Msikiti wa Al-Aqsa kwa kutuma salamu za rambirambi kutokana na mauaji yaliyofanywa na Israel dhidi ya Shahidi Ismail Haniyeh.