-
Shambulio la wanajeshi wa Israel kwenye Msikiti wa Al-Aqsa
Jul 18, 2024 10:08Idara ya Wakfu wa Kiislamu ya Palestina katika mji wa Quds Tukufu unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel imetangaza kuwa wanajeshi wa utawala huo wamewazuia Waislamu kuingia katika eneo hilo takatifu kwa kuvamia Msikiti wa Al-Aqsa.
-
Wapalestina waswali Swala ya Iddi Masjidul Aqsa licha ya mbinyo
Jun 16, 2024 10:00Makumi ya maelfu ya Wapalestina wameshiriki katika Swala ya Iddul Adh'ha iliyosaliwa leo kwenye Msikiti wa al-Aqsa mjini Baitul Muqaddas, licha ya kuwekewa vizuizi na kukabiliwa na hatua kali za kiusalama zilizochukuliwa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika mji huo unaoukalia kwa mabavu.
-
OIC yalaani 'maandamano ya bendera' ya Israel ya kusherehekea kuivamia Quds Mashariki
Jun 06, 2024 06:49Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani 'maandamano ya bendera' ya utawala wa Kizayuni wa Israel yaliyofanyika jana Jumatano Baitul Muqaddas Mashariki kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kuuvamia na kuanza kuukalia kwa mabavu mji huo mwaka 1967.
-
Ayatullah Khatami: Siku ya Quds itakuwa tofauti kabisa mwaka huu
Mar 29, 2024 12:12Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa hapa Tehran hii leo ameashiria jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza na kusema kuwa, hadithi ya Siku ya Kimataifa ya Quds mwaka huu, itakuwa hadithi tofauti kabisa kutokana na hamasa na wingi wa watu watakaoshiriki matembezi ya siku hiyo.
-
"Siku ya Quds imebakisha hai kadhia ya Palestina"
Mar 27, 2024 02:08Mkuu wa Makao Makuu ya Intifadha na Siku ya Quds ya Iran amesema maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds yana umuhimu mkubwa katika kubakisha hai kadhia ya ukombozi wa Palestina.
-
Hofu ya Wazayuni ya kuibuka Intifadha nyingine Palestina
Mar 08, 2024 08:30Utawala wa Kizayuni wa Israel una wasi wasi mkubwa wa kuanzishwa Intifadha (mwamko) nyingine ya Palestina katika hali ambayo hauna nguvu na umeonyesha udhaifu mkubwa mkabala wa operesheni ya kimbunga cha Al-Aqsa na makundi ya mapambano ya ukombozi wa Papalestina.
-
Haniya: Kimbunga cha Al-Aqsa kimeanzia Gaza na kitafika hadi Ufukwe wa Magharibi
Oct 07, 2023 15:14Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema: Kimbunga cha Al-Aqsa kimeanzia Gaza na kitafika hadi Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, nje yake na popote pale walipo wananchi wa Palestina.
-
Walowezi wa Kizayuni wauvamia Msikiti wa Al Aqswa kwa siku ya tano mfululizo
Oct 04, 2023 12:36Makumi ya walowezi wa Kizayuni leo wameuvamia tena kwa siku ya tano mtawalia Msikiti wa Al-Aqwsa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu huku wakilindwa na kusindikizwa na askari wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Jordan yalaani Wazayuni kuuvamia tena Msikiti wa al-Aqsa
Oct 04, 2023 03:08Serikali ya Jordan imekosoa vikali hatua ya wanajeshi wa utawala haramu wa Israel kuwashambulia waumini wa Kipalestina, huku mamia ya walowezi wa Kizayuni wenye misimamo mikali wakiingia kwa mabavu katika eneo la Msikiti wa al-Aqsa huko Quds (Jerusalem) Mashariki inayokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
-
Wazayuni wauvamia tena Msikiti wa Al Aqsa kwa siku ya nne mfululizo
Oct 03, 2023 07:53Kundi kubwa la walowezi wa Kizayuni leo wameuvamia tena kwa siku ya nne mtawalia Msikiti wa Al-Aqsa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu huku wakilindwa na kusindikizwa na askari wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.