-
84% ya Misikiti ya Gaza imeharibiwa na mabomu ya Wazayuni
Aug 21, 2024 23:36Asilimia 84 ya Misikiti katika Ukanda wa Gaza huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu imeharibiwa na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Jumatano, Agosti 21, 2024
Aug 21, 2024 01:23Leo ni Jumatano tarehe 16 Mfunguo Tano Safar 1446 Hijria, mwafaka na tarehe 21 Agosti 2024 Milaadi.
-
Bagheri Kani: Uvamizi wa Wazayuni katika Msikiti wa Al-Aqsa unalenga kuzidisha mivutano
Aug 14, 2024 04:07Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uvamizi wa baadhi ya mawaziri wa serikali ya utawala bandia wa Israel na walowezi wa Kizayuni katika msikiti wa al Aqsa ni hatua ya kichochezi inayolenga kushadidisha mivutano na ukosefu wa amani katika eneo.
-
Utawala wa Kizayuni wamkamata Khatibu wa Msikiti wa al-Aqsa, kisa kutoa pole mauaji ya Shahidi Ismail Haniyeh
Aug 03, 2024 03:22Utawala wa Kizayuni wa Israel umemkamata Khatibu wa Msikiti wa Al-Aqsa kwa kutuma salamu za rambirambi kutokana na mauaji yaliyofanywa na Israel dhidi ya Shahidi Ismail Haniyeh.
-
Shambulio la wanajeshi wa Israel kwenye Msikiti wa Al-Aqsa
Jul 18, 2024 06:38Idara ya Wakfu wa Kiislamu ya Palestina katika mji wa Quds Tukufu unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel imetangaza kuwa wanajeshi wa utawala huo wamewazuia Waislamu kuingia katika eneo hilo takatifu kwa kuvamia Msikiti wa Al-Aqsa.
-
Wapalestina waswali Swala ya Iddi Masjidul Aqsa licha ya mbinyo
Jun 16, 2024 06:30Makumi ya maelfu ya Wapalestina wameshiriki katika Swala ya Iddul Adh'ha iliyosaliwa leo kwenye Msikiti wa al-Aqsa mjini Baitul Muqaddas, licha ya kuwekewa vizuizi na kukabiliwa na hatua kali za kiusalama zilizochukuliwa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika mji huo unaoukalia kwa mabavu.
-
OIC yalaani 'maandamano ya bendera' ya Israel ya kusherehekea kuivamia Quds Mashariki
Jun 06, 2024 03:19Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani 'maandamano ya bendera' ya utawala wa Kizayuni wa Israel yaliyofanyika jana Jumatano Baitul Muqaddas Mashariki kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kuuvamia na kuanza kuukalia kwa mabavu mji huo mwaka 1967.
-
Ayatullah Khatami: Siku ya Quds itakuwa tofauti kabisa mwaka huu
Mar 29, 2024 08:42Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa hapa Tehran hii leo ameashiria jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza na kusema kuwa, hadithi ya Siku ya Kimataifa ya Quds mwaka huu, itakuwa hadithi tofauti kabisa kutokana na hamasa na wingi wa watu watakaoshiriki matembezi ya siku hiyo.
-
"Siku ya Quds imebakisha hai kadhia ya Palestina"
Mar 26, 2024 22:38Mkuu wa Makao Makuu ya Intifadha na Siku ya Quds ya Iran amesema maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds yana umuhimu mkubwa katika kubakisha hai kadhia ya ukombozi wa Palestina.
-
Hofu ya Wazayuni ya kuibuka Intifadha nyingine Palestina
Mar 08, 2024 05:00Utawala wa Kizayuni wa Israel una wasi wasi mkubwa wa kuanzishwa Intifadha (mwamko) nyingine ya Palestina katika hali ambayo hauna nguvu na umeonyesha udhaifu mkubwa mkabala wa operesheni ya kimbunga cha Al-Aqsa na makundi ya mapambano ya ukombozi wa Papalestina.