SAUTI: Hali mbaya ya usalama nchini Uganda
Apr 04, 2017 05:37 UTC
Vitisho vipya dhidi ya usalama wa Uganda hususan usalama wa jeshi la polisi vimejitokeza nchini humo hivi sasa uchunguzi ukiendelea kufanyika kuhusiana na suala hilo. Mwandishi wetu Kigozi Ismail amettumia ripoti ifuatayo:
Tags