SAUTI: Mgomo walemaza harakati za kijamii DRC
Apr 04, 2017 05:52 UTC
Miji mikubwa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imeripotiwa kupooza kufuatia mgomo ulioitishwa na wapinzani wanaoishinikiza serikali isaidi mkataba wa amani uliofikiwa tarehe 31 Disemba mwaka jana. Mossi Mwasi ana maelezo zaidi kutoka Congo Brazzaville.
Tags