-
EAC na SADC zatangaza jopo jipya la marais wastaafu wa kuongoza mchakato wa kuleta amani DRC
Mar 25, 2025 08:16Viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, EAC na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika, SADC wamewateua marais wastaafu wengine kuongoza jitihada za kurejesha amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC.
-
Tanzania yaripoti kupungua kwa asilimia 40 maambukizi mapya ya TB
Mar 25, 2025 03:15Tanzania imeungana na jumuiya ya kimataifa kuadhimisha Siku ya Kifua Kikuu Duniani (TB) ikisema kuwa, serikali imefanikiwa kupunguza maambukizi mapya ya Kifua Kikuu kwa takriban asilimia 40 katika kipindi cha miaka minane.
-
Somalia yajiunga na Afreximbank ili kukuza biashara ya ndani ya Afrika
Mar 25, 2025 03:14Kuanzia jana Jumatatu, Somalia imekuwa rasmi mwanachama wa 53 wa Benki ya Mauzo ya Nje ya Afrika (Afreximbank) wakati huu ambapo nchi hiyo ya mashariki mwa Afrika imo kwenye jitihada za kukuza biashara ya ndani ya Afrika na uchumi wake.
-
Angola yajiondoa kama mpatanishi wa mgogoro wa DRC
Mar 25, 2025 02:41Angola imejiondoa kama mpatanishi wa Umoja wa Afrika katika mgogoro wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Balozi wa A/Kusini arejea nyumbani kutoka US kwa ufakhari mkubwa
Mar 24, 2025 07:23Balozi wa Afrika Kusini ambaye rais wa Marekani Donald Trump ametaka aondoke nchini humo kutokana na kukosoa sera zake, amerejea Afrika Kusini kwa ufakhari mkubwa na kupokewa kwa shangwe.
-
Licha ya hali mbaya ya kiusalama Somalia, lakini Wasudan wakimbilia nchini humo
Mar 24, 2025 07:22Licha ya kwamba usalama nchini Somalia ni mdogo kutokana na mashambulizi ya mara kwa mara ya genge la kigaidi la al Shabab, lakini hatari nchini Sudan ni kubwa zaidi kiasi kwamba, wananchi wa Sudan wanaamua kukimbilia Somalia kuokoa maisha yao.
-
Rwanda yakaribisha uamuzi wa waasi wa M23 kuondoka katika mji wa Walikale
Mar 24, 2025 04:35Viongozi wa Rwanda wamekaribisha hatua ya waasi wa M23 ya kuondoka katika mji wa kistratejia na wenye utajiri wa madini wa Walikale na kukaribisha pia juhudi za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo za kusitisha uhasama katika mzozo unaoendelea mashariki mwa nchi hiyo.
-
Serikali ya Burkina Faso yakadhibisha kuhusu video bandia za mauaji zilizorushwa mtandaoni
Mar 24, 2025 04:31Serikali ya Burkina Faso imelaani kuenea kwa video za upotoshaji kuhusu kujiri mauaji ya umati ya kikabila nchini humo. Serikali ya Burkina Faso imesema kuwa video hizo zilizosambaa mitandaoni ni kampeni kubwa ya vyombo vya habari ya kisiasa yenye lengo la kuchafua taswira ya nchi hiyo.
-
Namibia yawa nchi ya kwanza Afrika kuwa na Rais na Makamu wa Rais mwanamke
Mar 24, 2025 00:10Rais mpya wa Namibia Netumbo Nandi-Ndaitwah ametangaza Baraza lake la Mawaziri la kwanza na kumteua Lucia Witbooi kuwa Makamu wa Rais wa kwanza mwanamke wa taifa hilo.
-
Al-Shabaab waua askari polisi sita wa Kenya, wajeruhi wanne katika shambulio la alfajiri Garissa
Mar 24, 2025 00:09Askari sita wa jeshi la Polisi la Kenya wameuawa na wengine wanne wamejeruhiwa katika shambulio linaloaminika kufanywa na kundi la kigaidi la Al-Shabaab la Somalia katika kambi ya polisi iliyoko kwenye kaunti ya Garissa mashariki mwa nchi hiyo, kwenye mpaka wa pamoja na Somalia.