-
Reuters: RSF imetia saini hati ya kuunda serikali nyingine nchini Sudan
Feb 23, 2025 23:35Wanasiasa wa Sudan, Al-Hadi Idris na Ibrahim Al-Mirghani, wameliambia shirika la habari la Reuters kwamba kundi la waasi la Rapid Support Forces (RSF) limetia saini mkataba na makundi washirika ya kisiasa na yenye silaha wa kuunda "serikali ya amani na umoja" sambamba na ile ya sasa nchini humo katika maeneo yanayodhibitiwa na kundi hilo.
-
Rais Tshisekedi anapanga kuunda serikali ya umoja wa kitaifa
Feb 23, 2025 23:34Rais wa Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo anatazamiwa kuzindua serikali ya umoja wa kitaifa ya nchi hiyo. Tina Salama, msemaji wa Ofisi ya Rais wa Kongo amesema, Rais Tshisekedi ataunda serikali ya umoja wa kitaifa na kufanya mabadiliko ya uongozi katika muungano tawala wa nchi hiyo.
-
Wavuvi 20 wa Kenya wauawa na wanamgambo wa Dassanech mpakani na Ethiopia
Feb 23, 2025 08:56Zaidi ya wavuvi 20 wameuawa katika eneo la mpaka la Todonyang, kaskazini mwa Kenya, pambizoni mwa Ziwa Turkana katika shambulio la watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa Dassanech kutoka nchi jirani ya Ethiopia.
-
Kutimuliwa wanajeshi wa Ufaransa katika nchi ya sita ya Afrika
Feb 23, 2025 07:34Siku ya Alkhamisi, Februari 20, 2025, wanajeshi wa mkoloni kizee wa Ulaya yaani Ufaransa walitimuliwa katika kambi yao pekee ya kijeshi nchini Ivory Coast.
-
Mafuriko Msumbiji: Maelfu wapoteza makazi huku shule zikifungwa
Feb 23, 2025 04:16Mafuriko makubwa yaliyoiathiri Botswana yamesababisha vifo vya watu saba wakiwemo watoto watatu na kuharibu nyumba za maelfu ya watu baada ya siku kadhaa za mvua kubwa kunyesha kote nchinu humo. Haya yamebainishwa jana na Rais Duma Boko wa nchi hiyo.
-
Karibu wagonjwa 1,200 zaidi wa kipindupindu wameripotiwa katika jimbo la White Nile, Sudan
Feb 23, 2025 04:10Mtandao wa Madaktari wa Sudan umeripoti kuwa kesi 1,197 za ugonjwa wa kipindupindu, vikiwemo vifo 83 vilivyosababishwa na ugonjwa huo vimesajiliwa katika jimbo la White Nile siku mbili zilizopita.
-
Wakimbizi zaidi waendelea kumiminika nchini Burundi
Feb 22, 2025 23:13Idadi ya wakimbizi wanaoingia nchini Burundi kutokea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inazidi kuongezeka huku juhudi za kuupatia ufumbuzi mgogoro wa mashariki mwa DRC zikiwa bado hazijazaa matunda.
-
Wamorocco waandamana dhidi ya waziri wa utawala wa Kizayuni
Feb 22, 2025 23:12Wananchi wenye hasira wa Morocco wameandamana kupinga uwepo wa Waziri wa Usafirishaji wa utawala wa Kizayuni katika kongamano la kimataifa nchini Morocco.
-
Mzozo wa DRC: Bunge la Rwanda lalaani azimio la EU dhidi yake
Feb 22, 2025 08:28Bunge la Rwanda limekosoa vikali azimio lililopasishwa hivi karibuni na Bunge la Ulaya, likidai kuwa Rwanda linahusika na mzozo na machafuko yanayoendelea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
China yaiambia G20: Lazima dunia iisikilize Afrika, iyape uzito masuala yanayoitia wasiwasi
Feb 22, 2025 02:25Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi amesema, lazima dunia isikilize "kile Afrika inachosema" na kuuchukulia wasiwasi ilionao Afrika "kwa uzito". Wang ameyasema hayo katika hotuba yake mbele ya hadhara ya washiriki wa mkutano wa Kundi la Mataifa 20 (G20) unaofanyika mjini Johannesburg nchini Afrika Kusini.