-
Kushadidi ukandamizaji wa utawala wa Aal Khalifa nchini Bahrain katika mwezi wa Muharram
Oct 04, 2016 23:15Sambamba na kuwadia Mfunguo Nne Muharram, habari kutoka Bahrain zinasema kuwa, utawala wa Aal Khalifa umezidisha vitendo vya ukandamizaji dhidi ya raia na kuwabana katika shughuli zao kidini, hatua ambazo ni kinyume kabisa na sheria za kimataifa.
-
SAUTI: Mfahamu Pasta, Frédéric Ntumi anayeongoza kundi la waasi wa Ninja nchini Congo Brazzaville dhidi ya
Oct 02, 2016 23:46Mapigano yameendelea kushuhudiwa nchini Jamhuri ya Congo Brazzaville kati ya wapiganaji wa Frédéric Ntumi na askari wa serikali ya Rais Denis Sassou Nguesso.
-
Picha za baadhi ya ndege zilizotengenezwa na Iran baada ya kuziteka kutoka kwa Marekani na Israel
Oct 02, 2016 07:22Hapa tumekuwekeeni baadhi ya picha zinazoonesha ndege zisizo na rubani zilizotengenezwa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran baada ya kuziteka kutoka kwa Wamarekani na utawala wa Kizayuni wa Israel, baada ya ndege hizo kujipenyeza katika anga ya Iran na kutekwa nyara.
-
VIDEO: Iran yaonesha ndege za drone ilizozitengeneza baada ya kuziteka kutoka kwa Marekani na Israel
Oct 01, 2016 09:57Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefanikiwa kutengeneza mfano wa ndege zisizo na rubani (drone) ilizoziteka kutoka kwa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel. Ndege hizo zina uwezo zaidi ya ule wa ndege za asili za Marekani na Israel. Video hii inaonesha sehemu ya ndege hizo na namna zinavyofanya kazi kwa ufanisi mkubwa.
-
Kuzidi kuimarika uhusiano wa Iran na Oman
Sep 30, 2016 14:31Baadhi ya picha za ziara ya ya ujumbe wa mahakama ya Oman ulipotembelea na kuonana na mkuu wa Chombo cha Mahakama cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Tehran.
-
SAUTI: Wanachama CUF TZ: Mgogoro uliopo chamani utatuliwe kwa pande hasimu kuheshimu katiba ya chama
Sep 29, 2016 14:52Wanachama wa chama cha Wananchi CUF nchini Tanzania, wamewataka viongozi wanaohasimiana, kutanzua mgogoro uliopo wa kwa kuchunga misingi ya katiba ya chama hicho.
-
SAUTI: Polisi Kenya: Tumemuua gaidi wa ash-Shabab aliyekuwa akisakwa kwa muda mrefu
Sep 28, 2016 12:23Idara ya polisi nchini Kenya imetangaza kumpiga risasi na kumuua mshukiwa mkuu wa ugaidi nchini humo ambaye amekuwa akisakwa kwa muda mrefu na jeshi hilo.
-
SAUTI: Vutanikuvute ndani ya chama cha CUF Tanzania zaendelea huku Profesa Lipumba akipigwa kalamu nyekundu
Sep 27, 2016 13:34Katika kikao kilichoitishwa na kamati ya utendaji ya chama cha CUF, kulijadiliwa masuala mbalimbali ikiwemo uamuzi dhidi ya Profesa Lipumba.
-
VIDEO: Jeshi la Iran laonyesha magari yake ya kisasa ya kushambulia vitani bila dereva
Sep 27, 2016 08:15Robot wa Iran wenye uwezo wa kushambulia vitani bila ya kuwa na dereva, ni sehemu ya maonyesho ya Siku ya Jeshi nchni Iran.
-
VIDEO: Kama huna mbavu usiangalie kichekesho hiki cha mwaka
Sep 27, 2016 07:21Kama inasemwa, raha ya kabumbu ni namna mtu unavyoweza kutabiri nini kitatokea sekunde chache ijayo. Sehemu unayotarajia goli litafungwa halifungwi na pale usipotarajia kabisa kuwa gali halifungwi ndipo linapofungwa. Huu ni mfano wa wazi wa kituko hicho cha mwaka katika kabumbu. Utumbo huu wa mwaka umefanywa na golikipa wa timu ya vijana ya Korea Kaskazini katika mashindano ya Asia.