-
VIDEO: Mahojiano ya Radio Tehran na Spika wa Bunge la Kenya
Sep 25, 2016 11:01Spika wa Bunge la Kenya, Mheshimiwa Justin Muturi yupo hapa mjini Tehran kwa ziara rasmi ya kikazi nchini Iran.
-
SAUTI: Wakenya wasiokuwa na vitambulisho vya uraia waitisha maandamano makubwa Kenya
Sep 24, 2016 13:52Hatma ya kusajiliwa kwa jamii zisizokuwa na uraia wa taifa la Kenya bado haijafahamika kutokana na kukamilika kwa muda wa usajili wa jamii hizo.
-
SAUTI: Mahojiano maalumu juu ya mazungumzo ya Maspika wa mabunge ya Iran na Kenya
Sep 24, 2016 13:45Maspika wa mabunge ya Iran na Kenya wamesisitzia udharura wa kuimarishwa zaidi uhusiano wa nchi hizo mbili katika pande zote.
-
SAUTI: Wanachama wa kundi la kitakfiri la ash-Shabab wavamia bohari la silaha la kambi ya polisi
Sep 22, 2016 13:43Katika hujuma hiyo wanachama hao wa kigaidi wanadaiwa kutoweka na kiasi kisichojulikana cha risasi na bunduki, sanjari na kumjeruhi vibaya polisi mmoja.
-
Video: Kama hata wanyama wanasaidiana, mwanadamu anashindwaje kumsaidia mwenzake?
Sep 21, 2016 06:07Kama unadhani huruma iko kwa viumbe wenye akili tu, umekosea. Viumbe wengine nao wana nadhari, na baadhi ya wakati msaada wao ni bora zaidi kulikoni hata wa wanadamu wanaoambatanisha misaada yao na masimbulizi. Cha kuvutia kwenye kipande hiki cha video ni namna nguchiro wawili, mama na mwana walivyosaidiana kumuokoa mwenzao.
-
Video: Ajali haina kinga, lililoandikwa lazima litatokea
Sep 21, 2016 06:03Licha dereva wa gari hii kuchukua tahadhari kubwa, lakini jitihada haiondoi kudura. Ajali hii ilishaandikwa kutokea hata kama ni kwa uzembe wa dereva wa pikipiki kama kinavyoonesha kipande hiki cha video.
-
VIDEO. Sheikh Hemedi Jalala: TCRA na polisi Tanzania wamnase kijana aliyeivunjia heshima dini ya Kiislamu
Sep 17, 2016 00:53Sheikh Hemedi Jalala, mmoja wa viongozi wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Tanzania na Mkuu wa Chuo cha Kiislamu cha Imam Swadiq (as) jijini Dar es Salaam, ameitaka Mamlaka ya Mawasiliano nchini humo (TCRA) kwa kushirikiana na maafisa usalama, kumtia mbaroni kijana JEREMIA EDWARD.
-
SAUTI: Waislamu Kenya walaani kitendo cha kukamatwa na polisi mke wa Sheikh Aboud Rogo
Sep 16, 2016 23:29Radiamali ya Waislamu nchini Kenya imeendelea kutolewa kutokana na kamatakamata ya polisi ya nchi hiyo katika kuwasaka wanachama wa genge jipya la wanawake wanaoaminika kuwa wafuasi wa kundi la kigaidi la ash-Shabab.
-
Tetemeko la ardhi lakumba maeneo ya Tanzania, Uganda na Burundi; 10 wafariki dunia + SAUTI
Sep 10, 2016 11:14Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 5.7 kwa kipimo cha rishta limeikumba mikoa ya kanda ya ziwa nchini Tanzania na kusini mashariki mwa Uganda na baadhi ya maeneo ya Burundi kusababisha maafa ya vifo na majeruhi na hasara ya mali.
-
SAUTI: Makaburi ya Umati yazidi kushuhudiwa Burundi
Sep 08, 2016 14:02Miili ya watu wengi imegunduliwa katika mkoa wa Muramvya katikati mwa Burundi.