-
Nkurunziza mkuu wa milele wa CNDD-FDD Burundi + Sauti
Mar 12, 2018 06:10Kamati Kuu ya chama tawala nchini Burundi cha CNDD-FDD imemtangaza Rais Pierre Nkurunziza kuwa kiongozi wa kudumu ndani ya chama hicho. Hata hivyo upinzani umesema, Burundi inaelekea kusikotabirika. Mwandishi wetu wa Bujumbura Hamida Issa ametutayarishia ripoti maalumu kuhusu suala hilo
-
Mashinikizo ya katiba mpya Tanzania + Sauti
Mar 12, 2018 05:04Mashinikizo ya kutaka marekebisho ya kimsingi ya Katiba yameshamiri huku viongozi wa kisiasa, viongozi wa kidini, wabunge na asasi za kijamii nazo zikihimiza sana suala hilo. Mwandishi wa Radio Tehran, Omar Manji ametuandalia ripoti maalumu kuhusu suala hilo
-
Matukio ya Kiislamu Afrika Mashariki na Harith Subeit + Sauti
Mar 10, 2018 03:57Kama ilivyo kawaida, wiki hii pia eneo la Afrika Mashariki limekuwa na matukio mengi ya Kiislamu. Mwandishi wetu wa Zanzibar, Harith Subeit ametukusanyia baadhi yake katika ripoti hii...
-
Rais wa Kenya na kiongozi wa upinzani waahidi kukomesha migawanyiko + Sauti
Mar 09, 2018 13:01Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya leo asubuhi alifanya mkutano wa kushtukiza na hasimu wake wa kisiasa ambaye pia ni kinara wa muungano wa upinzani nchini humo NASA katika jumba la Harambee jijini Nairobi.
-
Rwanda yapokea wakimbizi zaidi wa Burundi + Sauti
Mar 09, 2018 02:50Rwanda imepokea kwa wakati mmoja wakimbizi wengine zaidi ya 3000 kutoka Burundi.
-
Rais Yoweri Museveni aahidi kuwapa nafasi zaidi wanawake nchini Uganda + Sauti
Mar 09, 2018 02:43Serikali ya Uganda imesema kuwa itaendeleza jitihada za kuhakikisha wanawake wanashirikishwa kikamilifu katika maendeleo ya nchi hiyo.
-
SAUTI, Msyria aliyekimbia vita na kuwasili Zanzibar, awa kivutio baada ya kufungua mgahawa
Mar 07, 2018 12:58Wazanzibar wameonyesha kuvutiwa na Msyria kwa jina la Twariq Muhammad Samir al-Abad ambaye baada ya kukimbia vita nchini kwao alielekea visiwani humo kwa ajili ya kuendeleza maisha yake.
-
SAUTI, Tume ya Haki za Binaadamu Burundi yakosoa vikali hatua ya kushushwa hadhi yake na Umoja wa Mataifa
Mar 06, 2018 12:27Tume ya Kitaifa ya Haki za Binaadam nchini Burundi (CNIDH) imeshushwa hadhi na Baraza la Haki za Binaadamu la Umoja wa Mataifa kwa kile kilichotajwa kuwa imeshindwa kushirikiana vilivyo na baraza hilo.
-
Sura mpya katika jeshi la polisi nchini Uganda + Sauti
Mar 06, 2018 03:48Mwangwi wa hatua ya Rais Yoweri Kaguda Museveni wa Uganda ya kumtimua Inspekta Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini humo Jenerali Kale Kayehura na maafisa wengine kadhaa wa masuala ya usalama umeendelea kuhisika huku wananchi wakitoa maoni mbalimbali kuhusu hatua hiyo.
-
Wanaharakati waliotoweka katika mazingira ya kutatanisha Zanzibar warejea makwao + Sauti
Mar 04, 2018 14:38Wanaharakati wanne wa Kiislamu waliopotea katika mazingira ya kutatanisha tokea tarehe 9 ya mwezi uliopita wa Februaria huko visiwani Zanzibar leo wamerejea katika familia zao baada ya kuwekwa kizuizini na watu wasiojulikana. Mwandishi wetu wa Zanzibar Harith Subeit ametutumia ripoti maalumu kuhusu suala hilo…