-
SAUTI, Ripoti ya matukio ya Kiislamu iliyoandaliwa na mwandishi wetu wa Zanzibar Harith Subeit
Feb 23, 2018 14:44Makumi ya Waislamu visiwani Zanzibar wakiwemo wanawake na wanaume wamehitimu masomo ya lugha ya Kiarabu, masomo ya Qur'an Tukufu na Suna za Mtume Muhammad (saw).
-
SAUTI, Rais Salva Kiir aweka wazi kwamba Marekani ndio chanzo cha mzozo na mauaji Sudan Kusini
Feb 23, 2018 13:27Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini ametamka bayana kwamba Marekani ndio ambayo inasababisha ukosefu wa amani ndani ya nchi yake changa zaidi barani Afrika.
-
Utitiri wa makanisa nchini Rwanda wawachosha wananchi
Feb 21, 2018 02:15Wananchi wa matabaka mbalimbali na wa dini tofauti nchini Rwanda wamelalamikia ujenzi mkubwa wa kiholela wa makanisa nchini humo ambao wanasema umewachosha hususan kutokana na vipaza sauti vinavyotumiwa na makanisha hayo katika makazi ya raia. Mwandishi wa Radio Tehran, Sylvanus Karemera, ametuandalia ripoti maalumu kuhusu suala hilo...
-
Upekuzi wa polisi katika Ofisi Kuu ya CUF Zanzibar wamalizika salama + Sauti
Feb 19, 2018 14:56Upekuzi uliofanywa na Jeshi la Polisi Zanzibar katika Makao Makuu ya chama cha CUF, Mtendeni Kisiwani Unguja umemalizika kwa jeshi hilo kutangaza kuwa halikupata silaha wala miripuko iliyodaiwa kufichwa katika ofisi hiyo. Harith Subeit ametuandalia ripoti kuhusu tukio hilo
-
Madaktari wanajeshi wa EAC wakutana Kigali + Sauti
Feb 19, 2018 14:48Wanajeshi madaktari kutoka wizara za ulinzi kwenye mataifa ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wamekutana mjini Kigali kujadili changamoto za afya na huduma ya matibabu kwenye majeshi ya nchi zote za jumuiya ya Afrika mashariki Kutoka Kigali mwandishi wetu Sylivaus Karemera anaripoti zaidi
-
Ziara ya wabunge wa Afrika Mashariki nchini Burundi + Sauti
Feb 19, 2018 14:43Wabunge kadhaa wa Jumui ya Afrika Mashariki wamefanya ziara ya kutembelea maeneo tofauti ya Burundi kama sehemu ya juhudi za kuimarisha uchumi wa nchi za ukanda huo. Mwandishi wa Radio Tehran jijini Bujumbura, Hamida Issa na maelezo zaidi...
-
Mahakama Uganda yamnusuru mwandishi aliyetekwa nyara + Sauti
Feb 19, 2018 14:31Mahakama moja nchini Uganda imemnusuru mwandishi mwandamizi wa gazeti la serikali la New Vision aliyetekwa nyara hivi karibuni.
-
Wadadisi wa mambo wakosoa uchaguzi mdogo wa Tanzania + Sauti
Feb 18, 2018 13:19Wachambuzi wa kisiasa wamekosoa mienendo ya dola katika uchaguzi huo wa Kinondoni na Siha
-
SAUTI, Serikali ya Burundi yapiga marufuku kuwanyanya raia kwa kutumia zoezi la uandikishaji majina ya wapiga kura
Feb 16, 2018 01:18Huku zoezi la uandikishaji majina ya wapiga kura katika daftari la kudumu la wapiga kura nchini Burundi likikaribia kumalizika, baadhi ya ripoti zinaarifu kuwepo vitendo vilivyo kinyume na sharia kuhusiana na zoezi hilo.
-
SAUTI, Hali ya taharuki yatanda Zanzibar kufuatia ongezeko la vitendo vya kupotea viongozi wa Kiislamu
Feb 13, 2018 04:11Taharuki imetanda visiwani Zanzibar baada ya kukithiri matukio ya kutoweka katika mazingira ya kutatanisha, wanaharakati wa taasisi za Kiislamu katika visiwa hivyo vya Unguja na Pemba.