-
Ayatullah Khatami: Uwezo wa makombora wa Iran umeidhalilisha Marekani
Aug 14, 2026 10:11Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, Marekani ilitaka kuangamiza uwezo wa makombora wa Iran, lakini ilishindwa na kuufeli katika mpango wake huo.
-
Tehran: Taarifa ya Ufaransa na washirika wake wa Magharibi dhidi ya Iran ni propaganda za kinafiki za kupotosha ukweli
Aug 14, 2026 10:09Kaimu Mkuu wa Idara ya Haki za Binadamu ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani hatua ya Ufaransa na baadhi ya nchi za Magharibi ya kutoa taarifa ya pamoja dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kisingizio cha masuala ya haki za binadamu na kusema kuwa hatua hiyo ni mfano wa wazi wa unafiki wa kupotosha uukweli wa mambo.
-
Iran: Hakuna chombo kinachoweza kupita salama Hormuz bila idhini
Aug 14, 2026 03:31Msemaji wa Kamandi Kuu ya Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ijulikanayo kama Makao Makuu ya Khatam al-Anbiya amekanusha madai ya Marekani kwamba meli zinaendelea kupita kwa hali ya kawaida katika Lango Bahari la Hormuz, akisema hakuna chombo kinachoweza kuvuka kwa usalama njia hiyo ya kimkakati bila idhini na uangalizi wa Iran.
-
Baghaei: Kimya mbele ya mabavu huvunja imani ya watu kwa utawala wa sheria kimataifa
Aug 14, 2026 03:04Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmaeil Baghaei, amesema kwamba pale ambapo sheria inashindwa kuchukua hatua mbele ya nguvu na mabavu, imani ya jamii ya kimataifa katika uwezekano wa kuwepo utawala wa sheria katika mahusiano ya kimataifa hudhoofika.
-
‘Unafiki’: Iran yashutumu Ufaransa kwa kuhubiri haki huku ikiunga mkono uhalifu wa Marekani na Israel
Aug 13, 2026 10:42Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi, amelaani vikali Ufaransa na mataifa mengine kwa kujifanya mawakili wa haki za binadamu na sheria za kimataifa, wakati wakihalalisha na kuunga mkono uhalifu wa kivita unaofanywa na Israel na Marekani.
-
Iran yasisitiza Lango la Hormuz halifunguliwi mpaka masharti yake yatimizwe
Aug 13, 2026 10:39Mamlaka ya Iran inayosimamia Lango Bahari la Hormuz katika Ghuba ya Uajemi imekanusha vikali madai ya maafisa wa Marekani kuhusu kufunguliwa tena kwa njia hiyo ya kimkakati ya baharini.
-
Rais wa Iran amwambia Waziri Mkuu wa Japan: Iran haijawahi kukiuka sheria za kimataifa
Aug 13, 2026 04:40Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa Iran haijawahi kukiuka sheria za kimataifa.
-
Jenerali: Jaribio lolote la uvamizi wa nchi kavu dhidi ya Iran litasambaratishwa
Aug 13, 2026 04:37Naibu wa Mambo ya Kiutendaji katika Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa utayari wa kijeshi na uwezo wa kimkakati wa jeshi hilo vimelazimisha Marekani kurekebisha malengo yake ya kisiasa mara kwa mara, akionya kuwa jaribio lolote la uvamizi wa nchi kavu dhidi ya Iran litasambaratishwa.
-
Rezaei: Mlango-Bahari wa Hormuz utafunguliwa ikiwa tu US itayakubali masharti ya Iran
Aug 12, 2026 12:33Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema, kufunguliwa tena kikamilifu Mlango-Bahari wa Hormuz katika Ghuba ya Uajemi, ambao umewekewa vizuizi vya uvukaji na Iran tangu mwanzoni mwa mwezi Machi kutokana na uchokozi wa kijeshi wa Marekani na utawala wa kizayuni wa Israel kutafanyika pale tu Marekani itakapoyakubali masharti ya Iran.
-
Sababu na Umuhimu wa Makubaliano ya Makka
Aug 12, 2026 06:39Siku ya Ijumaa, Saudi Arabia, Uturuki na Pakistan zilitia saini "Makubaliano ya Makka ya Ulinzi wa Pamoja".