-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Ulimwengu wa Kiislamu uchukue msimamo thabiti kuiunga mkono Palestina
Feb 17, 2025 03:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekumbusha kuhusu uungaji mkono ulioonyeshwa na nchi za Kiarabu na Kiislamu kwa hatua ya maana iliyochukuliwa na Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC ya kukabiliana na mpango wa pamoja wa Marekani na utawala wa Kizayuni unaolenga kuifuta Palestina, na akabainisha kwamba: "Ulimwengu wa Kiislamu unapaswa kuiunga mkono Palestina kwa msimamo thabiti."
-
Mwanafunzi wa Iran ashinda 'Tuzo ya Mtafiti Kijana wa Mwaka' ya BRICS na SCO
Feb 16, 2025 23:41Hosna Salimi, mwanafunzi wa Kiirani wa Kitivo cha Taaluma za Dunia (FWS) cha Chuo Kikuu cha Tehran ameshinda Tuzo ya 'Mtafiti Kijana Bora wa Mwaka' katika taasisi ya BRICS na Tuzo ya Viongozi Vijana ya Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) kwa mwaka 2025 kutokana na kazi bora aliyofanya katika sayansi na utafiti.
-
Araqchi: Pwani ya Iran ni lango la kuunganisha uchumi wa dunia
Feb 16, 2025 10:17Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa pwani ya Iran ni njia ya kuunganisha uchumi wa dunia.
-
Kamanda Pourdastan: Iran itaimarisha uwezo wake wa kiulinzi sambamba na vitisho
Feb 16, 2025 04:08Kamanda wa ngazi ya juu wa jeshi la Iran amesema kuwa vikosi vya ulinzi vya nchi hii vimejitolea kukuza uwezo wa kiulinzi kulingana na vitisho vinavyoibuka dhidi ya taifa.
-
Mabadilishano ya kibiashara ya Iran na nchi jirani yaongezeka
Feb 15, 2025 22:56Mabadilishano ya kibiashara ya Iran na nchi jirani yanaonekana kuongezeka katika miezi michache ya hivi karibuni.
-
Mwanadiplomasia: Kuna mawasiliano yasiyo ya moja kwa moja kati ya Iran na watawala wa Syria
Feb 15, 2025 08:43Mjumbe maalum wa waziri wa mambo ya nje wa Iran katika masuala ya Syria amethibitisha kwamba Iran ina mawasiliano yasiyo ya moja kwa moja na kundi la Hay’at Tahrir al-Sham (HTS) linalotawala Syria, zaidi ya miezi miwili baada ya kundi hilo la wanamgambo kuchukua mamlaka katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Iran yaonya baada ya Israel kutishia kushambulia ndege yake ya abiria
Feb 15, 2025 03:45Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmail Baghaei ameukosoa vikali utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kutishia kushambulia ndege ya abiria ya Iran iliyokuwa imebeba raia wa Lebanon.
-
Iran yalaani shambulizi la kigaidi la Balochistan, Pakistan
Feb 14, 2025 23:13Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali shambulio la kigaidi katika jimbo la Balochistan nchini Pakistani, ambalo limesababisha vifo na kujeruhiwa wafanyakazi kadhaa wasio na hatia.
-
Khatibu ya Swala ya Ijumaa: Rais wa Marekani ni muungaji mkono wa ugaidi
Feb 14, 2025 09:39Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amewapongeza wananchi Waislamu wa Iran kwa kujitokeza kwa wingi katika maandamano ya Bahman 22 ya kuadhimisha miaka 46 ya Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ya mwaka 1979.
-
Iran yataka kuimarishwa ushirikiano wa kiuchumi wa "D-8"
Feb 14, 2025 04:37Naibu Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran anayeshughulikia diplomasia ya uchumi amesisitiza utayarifu wa Jamhuri ya Kiislamu wa kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi kati ya wanachama wa Jumuiya ya Nchi Nane Zinazostawi za Kiislamu (D-8).