-
Baraza la Usalama lalaani shambulizi la kigaidi la dhidi ya msafara wa polisi nchini Iran
Oct 31, 2024 07:59Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limesikitishwa na shambulizi la kigaidi la Jumamosi dhidi ya msafara wa polisi katika Mkoa wa Sistan na Baluchestan kusini mashariki mwa Iran ambapo maafisa 10 wa polisi waliuawa shahidi.
-
Iran yaendelea na jitihada za kusimamishwa vita Ghaza na Lebanon
Oct 31, 2024 03:41Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo na mawaziri wenzake wa mambo ya nje wa Misri, Indonesia na Qatar na kujadiliana nao masuala ya kikanda na uhusiano wa pande mbili ikiwa ni muondelezo wa jitihada za Iran za kuhakikisha vita vinakomeshwa huko Ghaza na Lebanon.
-
Iran: Tutajibu iwapo Israel itarusha hata mshale jangwani
Oct 30, 2024 23:07Vyombo vya ulinzi vya Iran vimesisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu itajibu mapigo ya uchokozi wowote wa Israel dhidi ya ardhi yake, hata kama hatua hiyo ni ndogo na isiyo na tija, kama kurusha mshale kuelekea kwenye jangwa moja la nchi hii.
-
Iran: Tunao uwezo wa kuishambulia Israel kwa 'darzeni' za operesheni sawa na "Ahadi ya Kweli"
Oct 30, 2024 10:04Waziri wa Ulinzi Brigedia Jenerali Aziz Nasirzadeh amesema Iran inao uwezo wa kuteketeza 'darzeni' za operesheni za kulipiza kisasi sawa na "Operesheni ya Ahadi ya Kweli" iliyotekeleza mwezi Aprili kulenga maeneo ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika ardhi ya Palestina unayoikalia kwa mabavu.
-
Malalamiko ya wajumbe wa Baraza la Usalama dhidi ya ushirikiano wa Marekani na utawala wa Kizayuni
Oct 30, 2024 06:35Katika kikao cha dharura cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kilichofanyika karibuni kwa ajili ya kijadili suala la hujuma ya anga ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, nchi nyingi zikiwemo Algeria, China, Russia, Iraq na Syria zimelaani vikali kitendo hicho cha uchokozi na kutaka uchokozi huo ukomeshwe mara moja.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Ulaya ni kielelezo cha unafiki
Oct 30, 2024 04:42Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema kuwa, Ulaya ni kielelezo cha unafiki. Abbas Araghchi ameyasema hayo akijibu matamshi ya uingiliaji kati ya Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya baada ya kunyongwa kiongozi wa kundi la kigaidi la "Tondar" nchini Iran.
-
Iran yalaani mauaji ya kinyama ya Israel Beit Lahiya
Oct 30, 2024 00:01Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali jinai na hujuma ya umwagaji damu huko Bait Lahiya iliyofanywa na utawala haramu wa Israel.
-
Iran: Tuna haki halali ya kujilinda na kujihami
Oct 30, 2024 00:00Msemaji wa serikali ya Iran, Fatemeh Mohajerani amesema Jamhuri ya Kiislamu ina haki ya kujilinda na kusisitiza kuwa, nchi hii itatekeleza haki hiyo "halali" kwa "wakati na mahali mwafaka."
-
Araghchi: Baraza la Usalama linapasa kuiwekea vikwazo Israel
Oct 30, 2024 00:00Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lina jukumu la kuuwekea vikwazo utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na tabia ya utawala huo kuendelea kushupalia vita na umwagaji damu huko Gaza na Lebanon.
-
IRGC: Vipigo vya kushtukiza na kushangaza vinaisubiri Israel
Oct 29, 2024 23:59Kamanda wa ngazi za juu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) ameonya kwamba, mipango mipya ya majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu itaishangaza Israel katika siku zijazo na kusisitiza kuwa, utawala huo wa kihalifu utakabiliana na hali mbaya zaidi kutokana na vipigo kutoka taifa hili.