-
Jeshi la Iran laionya Israel kuhusu ukiukaji usitishaji vita Lebanon
Jun 17, 2026 12:10Kamandi Kuu ya Majeshi ya Iran, Khatam al-Anbiya imeuonya utawala wa Israel na kuutaka usitishe mara moja ukiukaji wa mara kwa mara wa makubaliiano ya usitishaji vita kusini mwa Lebanon, au ukabiliwe na “jibu kali” la majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Iran yatengeneza dawa ya kutibu saratani kwa kutumia teknolojia ya nyuklia
Jun 17, 2026 12:08Iran inatarajiwa hivi karibuni kuzindua AlphaZa, dawa ya kwanza ya tiba ya nyuklia ya kutibu saratani iliyotengenezwa nchini inayotumia chembe za alfa (alpha‑emitting radiopharmaceutical), kwa ajili ya kutibu saratani zilizo katika hatua ya juu ambazo hazijaitikia tiba za kawaida.
-
Ejei: Iran iko tayari kuendelea kupigana iwapo adui atavunja ahadi
Jun 17, 2026 03:29Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran, Gholamhossein Mohseni Ejei, amesema Iran iko tayari kuendeleza mapambano dhidi ya uchokozi wa Marekani na Israel iwapo maadui hawatatimiza ahadi zao chini ya makubaliano mapya yaliyotangazwa ya kumaliza vita.
-
Kamanda wa Kikosi cha Quds: Vita dhidi ya Iran vimeifedhehesha Marekani, vimeharakisha kuporomoka Israel
Jun 17, 2026 03:24Brigedia Jenerali Esmail Qaani, kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), amesema kuwa vita vya tatu vya kulazimishwa dhidi ya Iran vimeifedhehesha kabisa Marekani na vimeharakisha kuporomoka kwa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kocha: Timu ya Iran imedhulumiwa zaidi katika Historia ya Kombe la Dunia
Jun 17, 2026 03:21Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Iran, Amir Ghalenoei, amesema kuwa ‘Team Melli’ ndiyo “timu inayodhulumiwa zaidi katika historia ya Kombe la Dunia la FIFA.”
-
Iran: Marekani ina jukumu la kuhakikisha inakomesha kabisa mashambulizi ya Israel dhidi ya Lebanon
Jun 16, 2026 11:14Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi amesema kuwa Marekani ina jukumu la kuhakikisha utekelezwaji wa hati ya maelewano (MoU) ya makubaliano itakayosainiwa na Tehran na Washington ikijumuisha kusitishwa mashambulizi ya Israel dhidi ya Lebanon.
-
Mkuu wa Jeshi la Iran: Adui yeyote atakayefanya makosa atakabiliwa na ghadhabu kubwa
Jun 16, 2026 11:09Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran amesema adui alishindwa kufikia malengo yake yoyote kupitia vita viwili, akionya kwamba makosa yoyote ya kimahesabu yatakabiliwa na hasira kali ya Jeshi la Iran.
-
Marekani ilishindwa vipi katika vita dhidi ya Iran?
Jun 16, 2026 06:29Siku mia moja na sita baada ya kuanza hujuma za kijeshi za Marekani na Wazayuni dhidi ya Iran, hatimaye Tehran na Washington zimefikia muafaka katika mfumo wa makubaliano ya kuhitimisha rasmi vita hivyo.
-
Iran yatoka sare ya mabao 2 kwa 2 na New Zealand, Misri yagawana pointi na Ubelgiji Kundi G
Jun 16, 2026 05:53Timu ya Taifa ya Iran, Team Melli, imetoka sare ya mabao mawili kwa mawili na timu ya taifa ya New Zealand katika mechi ya kundi G iliyopigwa uwanja wa SoFi Stadium huko California.
-
Pezeshkian: Hasira ya Israel dhidi ya MoU na Marekani ni 'ishara dhahiri' ya ushindi wa Iran
Jun 16, 2026 03:23Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema hasira ya Israel kuhusu hati ya maelewano (MoU) ya makubaliano kati ya Iran na Marekani inaashiria wazi mafanikio na ushindi wa taifa la Iran.