-
Jeshi la Iran laanza awamu ya pili ya luteka ya ulinzi wa anga ya 'Eqtedar 1403' kusini magharibi ya nchi
Feb 04, 2025 09:19Jeshi la Iran limeanza awamu ya pili ya mazoezi ya ulinzi wa anga ya "Eqtedar 1403", yanayolenga kulinda anga ya taifa sambamba na juhudi za kuimarisha zaidi uwezo wa ulinzi wa nchi.
-
Muhusika wa faili la nyuklia la Iran: Tehran inatetea kwa nguvu zote mpango wake wa amani wa nyuklia
Feb 04, 2025 05:04Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu na muhusika wa faili la nyuklia la Iran amesema: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inatetea kwa nguzu zote mpango wake wa nyuklia unaotekelezwa kwa malengo ya kiraia.
-
Rais wa Iran asisitiza umoja kati ya nchi za Kiislamu
Feb 04, 2025 04:17Rais wa Iran amesema kuwa nchi za Kiislamu zinapasa kujiepusha na masuala yanayozusha hitilafuna badala yake zinapasa kushikama na kuwa kitu kimoja; na kwa njia hiyo ni wazi kuwa njama za maadui na wale wanaozitakia mabaya wenzao hazitafanikiwa.
-
Iran yaionya Israel kutokariri mauaji ya kimbari ya Gaza katika Ukingo wa Magharibi
Feb 03, 2025 23:24Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameitolea wito jamii ya kimataifa kuishurutisha Israel isikariri jinai yake ya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina wa eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan kama ilivyofanya katika Ukanda wa Gaza.
-
Meja Jenerali Salami: Kikosi cha Quds kimemkaba adui maidanini
Feb 03, 2025 23:23Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema: Kikosi cha Quds cha jeshi hilo kimemmaliza adui kwenye medani za mapambano na kumdidimiza.
-
Mafanikio mapya ya kiulinzi ya Iran yana jumbe gani?
Feb 03, 2025 08:51Ikiwa ni katika muendelezo wa kuzindua mafanikio ya kiulinzi ya Iran, Jumapili ya jana tarehe Pili Februari, Kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) kilizindua kituo kipya cha chini ya ardhi.
-
Mjukuu wa Imam Khomeini: Kama Mapinduzi ya Kiislamu yasingekuwepo, HAMAS nayo isingelikuwepo wala hamasa yake
Feb 03, 2025 07:02Mjukuu wa Imam Khomeini MA mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa: "Si haki kusema kwamba kukua na kustawi makundi ya Muqawama na mapambano ya Kiislamu kama HAMAS, hakukuathiriwa moja kwa moja na ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran yaliiyoongozwa na Imam Khomeini MA."
-
Hivi ndivyo vituo vitatu vya anga za mbali vya Iran vilivyofelisha vikwazo vya Marekani
Feb 03, 2025 07:00Licha ya kuweko vikwazo vikali vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu, lakini vituo vitatu vya anga za mbali vya Iran vimeendelea kuzalisha teknolojia ya kisasa ya anga za juu. Kwa kutegemea ujuzi wa wananchi wake na uwezo wa wataalamu wa ndani ya Iran, vituo hivi vimefanikiwa kufelisha vikwazo na kupata maendeleo makubwa katika uwanja wa satelaiti na kurusha satelaiti kwenye anga za mbali.
-
Eslami: Upande wa Ulaya umeiambia Iran kuwa 'uondoaji vikwazo hauko kwenye mamlaka yetu'
Feb 03, 2025 03:31Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran, amesema kuhusu mazungumzo yaliyofanywa kati ya Jamhuri ya Kiislamu na Ulaya kwamba, maelezo ya msingi ya upande wa Ulaya ni kuwa 'vikwazo haviko mikononi mwetu, hatuna nafasi yoyote juu ya suala hilo na kadhia hii iko kwenye mamlaka ya Marekani'.
-
Imam Khamenei: Gaza imezipiga mweleka Marekani na Israel kwa Neema za Allah
Feb 02, 2025 09:35Kiongozi Muadhami wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema hakuna mtu yeyote angelifikiria mwaka jana kwamba, Wapalestina wa Ukanda wa Gaza wangeliibuka washindi dhidi ya muungano wa Marekani na Israel.