-
Matarajio ya kimkakati ya Kiongozi Muadhamu kwa Vyombo vya Mahakama nchini
Jun 23, 2024 08:05Akizungumza jana Jumamosi katika hadhara ya viongozi wa Vyombo vya Mahakama nchini, Ayatullah Ali Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza matarajio yake kutoka kwa muhimili huo wa dola.
-
Mgombea Urais: Iran haipaswi kujifunga katika mazungumzo na nchi chache tu
Jun 23, 2024 07:43Saeed Jalili, mgombea wa urais wa Iran unaotarajiwa kufanyika Ijumaa ya wiki hii ya Juni 28, amesema kuwa, Iran haipaswi kujifunga katika mazungumzo na nchi chache tu, bali inabidi kuwa wazi kwa nchi zote duniani.
-
Kiongozi Muadhamu asisitiza kupatiwa ufumbuzi matatizo ya wananchi kwa uadilifu
Jun 22, 2024 08:37Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa kupatiwa ufumbuzi matatizo na hitilafu za wananchi kwa uadilifu na kujiepusha na kuvuka mstari mwekundu wa sheria ni kati ya majukumu makuu ya mhimili wa mahakama.
-
Masuala ya kiutamaduni na wanawake; ajenda kuu ya mdahalo wa wagombea wa uchaguzi wa rais wa Iran
Jun 22, 2024 07:24Mdahalo wa tatu wa kisiasa kwa njia ya televisheni wa wagombea wa kiti cha urais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran umefanyika huku wagombea wakibainisha mipango yao ya sera za serikali kuhusu wanawake na uzalishaji wa kiutamaduni nchini.
-
Uchunguzi wa maoni: Jalili anaongoza katika mbio za uchaguzi wa rais Iran
Jun 22, 2024 03:22Ikiwa imesalia wiki moja tu kabla ya uchaguzi wa rais wa mapema uliopangwa kufanyika Juni 28 katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, wapiga kura hapa nchini wangali wanapanga na kupangua kuhusu nani watamchagua kushika hatamu za kuongoza serikali ya Awamu ya 14 ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Iran yatoa onyo kali kwa Israel dhidi ya vita na harakati ya Hizbullah
Jun 22, 2024 03:19Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeionya Israel kuhusu matokeo mabaya ya kuanzisha vita vya pande zote dhidi ya harakati ya Hizbullah ya Lebanon.
-
Jibu la Iran kwa shutuma zisizo na msingi za Marekani kuhusu Yemen
Jun 21, 2024 22:56Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amezitaja tuhuma za Marekani dhidi ya Iran kuhusu Yemen kuwa, hazina msingi wowote na kusema kwamba, Jamhuri ya Kiislamu daima imekuwa ikitilia mkazo utatuzi wa amani wa mgogoro wa Yemen kupitia njia za kidiplomasia.
-
Sayyid Abu Turabi Fard: Kushiriki katika uchaguzi kuna mchango katika kuongeza nguvu ya taifa
Jun 21, 2024 09:41Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya mjini Tehran amesema kuwa, kushiriki katika uchaguzi kuna mchango katika kuainisha hatima ya kuongeza nguvu ya taifa.
-
Radiamali ya Iran kwa hatua ya kihasama ya Canada dhidi ya SEPAH
Jun 21, 2024 07:24Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amelaani vikali hatua ya kihasama na kiuadui ya serikali ya Canada dhidi ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH).
-
Kamanda: Iran itatoa jibu mwafaka kwa tishio la aina yoyote
Jun 21, 2024 04:31Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Ulinzi wa Anga cha Jeshi la Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu leo hii ina nguvu zaidi kwenye sekta ya ulinzi kuliko wakati wowote ule, na kwamba tishio lolote dhidi ya taifa hili litapata jibu mwafaka na madhubuti.