-
Larijani: Kuunga mkono umoja wa Umma wa Kiislamu ni mojawapo ya vipaumbele vikuu vya Iran
Nov 27, 2025 23:29Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kuwa kulinda na kutetea umoja wa Umma wa Kiislamu ni miongoni mwa vipaumbele vikuu vya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Israel yatumia mfumo wa akili mnemba (AI) kufuatilia mitandao ya kijamii ya wanajeshi, ili kuzuia ushahidi wa uhalifu wa kivita
Nov 27, 2025 23:29Jeshi la Israel limezindua mradi mkubwa wa akili mnemba (AI), unaojulikana kama Morpheus, ili kuzuia askari wake kuchapisha ushahidi wa uhalifu wa kivita uliofanyika huko Gaza kwenye mitandao ya kijamii.
-
Kwa nini Afrika inataka kiti cha kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa?
Nov 27, 2025 23:27Bara la Afrika, kwa miaka kadhaa sasa, limekuwa likitafuta kiti cha kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Jeshi la Wanamaji la Iran kuzindia zana mpya za kivita
Nov 27, 2025 23:16Admeri Shahram Irani, Kamanda wa Jeshi la Wanamaji la Iran, ametangaza mipango ya kuzindua vifaa vipya na kuunganisha meli mpya katika jeshi hilo.
-
Wanajeshi Guinea-Bissau wamtangaza Jenerali Horta Inta-A kuwa kiongozi wa kijeshi wa nchi hiyo
Nov 27, 2025 11:10Askari waliofanya mapinduzi ya kijeshii nchini Guinea-Bissau leo Alkhamisi wametangaza kiongozi mpya wa kijeshi wa nchi hiyo, wakiimarisha unyakuzi wa madaraka ulioanza baada ya uchaguzi wa rais nchini humo.
-
Rais wa Nigeria atangaza hali ya hatari kufuatia wimbi la utekaji nyara
Nov 27, 2025 08:55Rais wa Nigeria, Bola Tinubu, ametangaza hali ya hatari ya kiusalama nchini humo baada ya mauaji na utekaji nyara kuongezeka kwa kasi.
-
Waangalizi wa uchaguzi walaani mapinduzi ya kijeshi Guinea-Bissau
Nov 27, 2025 08:53Viongozi wa ujumbe wa waangalizi wa uchaguzi wa Umoja wa Afrika (AU), Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) pamoja na Jukwaa la Wazee wa Afrika Magharibi (WAEF) wameeleza “wasiwasi mkubwa” kufuatia mapinduzi ya kijeshi yaliyotokea Guinea-Bissau baada ya uchaguzi wa urais.
-
Iran yawaonya mahasimu kuhusu mbinu za mabavu na mashinikizo
Nov 27, 2025 08:52Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, ametoa onyo kali kwa mahasimu wa Jamhuri ya Kiislamu akiwataka waache mwenendo wa mabavu na mashinikizo ya kupita kiasi dhidi ya taifa hili.
-
Hamas yakemea mauaji na mateso ya wafungwa Wapalestina magerezani Israel
Nov 27, 2025 08:49Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestima (Hamas) imelaani vikali mauaji ya makusudi na mateso ya Wapalestina walioko katika magereza ya kuogofya ya utawala haramu wa Israel, ikiyataja kama “uhalifu kamili wa kivita” na kuitaka jamii ya kimataifa kuchukua hatua madhubuti dhidi ya uhalifu huo.
-
Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa kuhusu vita vya Gaza; athari za kutisha za jinai za Israel
Nov 27, 2025 06:47Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa imefichua vipengele vipya vya athari za kutisha za vita vya Gaza. Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa vita vya utawala wa Kizayuni huko Gaza vimeunda shimo la kutisha na kwamba ujenzi mpya wa ukanda huu utahitaji kwa uchache dola bilioni 70 na muda wa miongo kadhaa, takwimu zinazodhihirisha wazi kina cha janga hili.