-
Marekani na nchi tatu za Ulaya zimeuaje Mkataba wa Cairo?
Nov 22, 2025 23:00Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameandika kwenye akaunti yake ya X kwamba: ""Mkataba wa Cairo" umeangamizwa na Marekani na nchi tatu za Ulaya."
-
Ripota wa UN: Mashambulizi ya Israel dhidi ya Lebanon ni jinai za kivita
Nov 22, 2025 08:08Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa anayefuatilia mauaji ya kiholela amesema kuwa, mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya raia huko Lebanon ni mfano wa wazi wa jinai za kivita.
-
Israel yaendeleza jinai Ukingo wa Magharibi, yaua Mpalestina mwengine
Nov 22, 2025 08:07Jeshi katili la utawala wa Kizayuni limeendeleza jinai na mashambulizi yake dhidi ya Wapalestina kwa kumuua shahidi Mpalestina mwingine na kuwateka nyara wengine wawili na kutokomea nao kusikojulikana. Jinai hiyo imefanyika kwenye Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
UN yaripoti kuongezeka vurugu katika jimbo la Upper Nile la Sudan Kusini
Nov 22, 2025 08:07Msemaji wa Umoja wa Mataifa amesema kwamba timu ya kulinda amani ya umoja huo nchini Sudan Kusini imekuwa ikiripoti kuongezeka vurugu za kijamii pamoja na wizi wa mifugo na uvamizi wa mashamba katika Jimbo la Upper Nile nchini humo.
-
RSF: Tunafuatilia jitihada za kiimataifa za kurejesha amani Sudan
Nov 22, 2025 08:06Kundi linalojulikana kwa jina la Vikosi vya Msaada wa Haraka vya Sudan (RSF) limesema kuwa, linafuatilia jitihada za kimataifa za kushinikiza kukomeshwa vita na mapigano angamizi nchini humo.
-
Ulaya yazungumza na Zelensky kumshawishi asikubali mpango wa Trump
Nov 22, 2025 08:06Duru za habari zimeripoti kuwa, Kansela wa Ujerumani, Rais wa Ufaransa na Waziri Mkuu wa Uingereza wamefanya mazungumzo ya simu na kujadiliana mpango mpya wa amani wa serikali ya Marekani katika kadhia ya Ukraine na kujaribu kumzuia Zelensky asiukubali mpango huo wa Trump.
-
Harakati ya pamoja ya kupinga hatua ya Magharibi dhidi ya Iran katika Bodi ya Magavana ya IAEA
Nov 22, 2025 06:50Hivi sasa kumejitokeza harakati ya pamoja ya kupinga hatua ya Troika ya Ulaya na Marekani dhidi ya Iran katika Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA).
-
Russia: Wamagharibi wakubali haki ya Iran ya kurutubisha madini ya urani na waache lugha ya vitisho
Nov 22, 2025 03:47Serikali ya Russia imeyataka madola ya Magharibi kuachana na lugha ya vitisho na badala yake yatambue na kuikubali haki ya Iran ya kurutuubisha madini ya urani.
-
Madaktari Wasio na Mipaka: Zaidi ya Wapalestina 300 wameuawa shahidi tangu kusitishwa vita Gaza
Nov 22, 2025 03:46Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka limetangaza kuwa, utawala ghasibu wa Israel umewauwa shahidi Wapalestina zaidi ya 300 katika Ukanda wa Gaza tangu kufikiwa kwa usitishaji vita katika Ukanda huo.
-
Idadi ya kaya masikini nchini Ujerumani imeongezeka
Nov 22, 2025 03:45Matokeo ya uchunguzi yanaonesha kuwa idadi ya kaya maskini nchini Ujerumani inaongezeka na kukosekana kwa usawa wa kipato kumeongezeka hadi kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa, na hivyo kusababisha hali ya kutoaminiana katika nyanja za kisiasa.