-
Afrika Kusini yachunguza madai ya raia wake kupigana kama mamluki kwenye vita vya Ukraine
Nov 06, 2025 23:05Afrika Kusini imesema kuwa, raia wake 17 waliojiunga na makundi ya mamluki katika vita vya Russia na Ukraine wameomba msaada wa kuokolewa kutoka kwenye eneo la Donbas ambako mapigano yanaendelea.
-
Zaidi ya watu 30 wapoteza maisha katika mafuriko nchini Sudan
Nov 06, 2025 23:03Mafuriko makubwa yamelikumba Jimbo la Nile nchini Sudan na kupelekea zaidi ya watu 30 kupoteza maisha na maelfu ya wengine kukwama kutokana na nyumba na maeneo yao kujaa maji ya mafuriko.
-
Qalibaf: Iran na Pakistan zinatoa kipaumbele kwa uhusiano wa kiuchumi na kibiashara
Nov 06, 2025 07:44Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuwa kupanua uhusiano wa kiuchumi na kuzidisha kiwango cha biashara kati ya Tehran na Islamabad ni vipaumbele vya juu vya nchi zote mbili.
-
Waangalizi wa AU: Uchaguzi wa Tanzania haukukidhi viwango vya kimataifa
Nov 06, 2025 07:42Ujumbe wa waangalizi wa Umoja wa Afrika katika uchaguzi mkuu wa wiki iliyopita nchini Tanzania uliogubikwa na ghasia umeeleza kuwa uchaguzi huo haukukidhi viwango vya kimataifa vya kidemokrasia.
-
Takriban watu 90 wamefariki dunia baada ya kimbunga cha Kalmaegi kuiathiri Ufilipino
Nov 06, 2025 07:40Watu wasiopungua 90 wamefariki dunia na wengine 75 hawajulikani walipo hadi sasa kufuatia kimbunga cha Kalmaegi kuathiri maeneo ya kati ya Ufilipino jana Jumatano.
-
EU yataka kufunguliwa korido ya kibinadamu mashariki mwa Kongo
Nov 06, 2025 07:39Afisa wa Umoja wa Ulaya ametoa wito kwa pande husika katika mzozo wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kufungua koridi ya kibinadamu na kuruhusu kuanza kuingia kwa ndege za misaada ya kibinadamu.
-
Google yafuta ushahidi wa video za uhalifu wa Israel huko Palestina
Nov 06, 2025 07:38Nyaraka zilizopatikana zinaonyesha kwamba kampuni ya Kimarekani ya Google imefuta zaidi ya video 700 zinazoonyesha uhalifu wa kivita wa utawala wa Israel kutoka kwenye mtandao wa intaneti.
-
Hizbullah: Mazungumzo na adui hayana maslahi na taifa
Nov 06, 2025 07:14Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imesitiza kuwa kufanya mazungumzo na adui si kwa maslahi yoyote ya kitaifa, na kubainisha kuwa baadhi walijaribu kukabidhi silaha za muqawama dhidi ya adui kama ushahidi wa nia njema ya Lebanon.
-
Ziara ya Gharibabadi nchini Saudi Arabia inalenga kuimarisha ushirikiano
Nov 06, 2025 07:01Naibu Waziri wa Sheria na Masuala ya Kimataifa wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesafiri hadi Saudi Arabia kwa ajenda ya kuimarisha ushirikiano.
-
Je, dunia inapaswa kuwa na wasiwasi juu ya uamuzi wa nyuklia aliotangaza Trump? Nini mtazamo wa Iran?
Nov 06, 2025 05:20Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa mjibizo kwa matamshi ya Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu kuanza tena nchi hiyo kuzifanyia majaribio silaha zake za nyuklia.