-
Yemen: Operesheni katika bahari Nyekundu zinaendelea
Mar 03, 2024 01:07Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen imesisitiza udharura wa kuendelezwa operesheni za vikosi vya majini vya nchi hiyo hadi hapo utawala wa Kizayuni wa Israel utakapositisha jinai zake huko Ukanda wa Gaza.
-
Israel yapuuza malalamiko ya dunia, yaendelea kumwaga damu za Wapalestina
Mar 02, 2024 08:19Kwa akali Wapalestina 17 wameuawa shahidi katika mashambulizi mapya ya anga ya utawala wa Kizayuni wa Israel yaliyolenga nyumba tatu za Wapalestina katika maeneo ya Deir el-Balah na Jabalia katika Ukanda wa Gaza.
-
Amnesty International yataka uchunguzi wa mauaji ya waliokuwa wakisubiria misaada Gaza
Mar 02, 2024 04:01Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International limetoa wito wa kufanyika uchunguzi wa haraka kuhusu mauaji makubwa ya Wapalestina yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya raia wa Gaza waliokuwa wakisubiria kupokea misaada ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza.
-
Rais wa Cuba: Mauaji dhidi ya watu wasio na ulinzi wa Gaza ni Holocaust halisi
Mar 02, 2024 04:00Rais Miguel Diaz-Canel wa Cuba amesema kuwa, mauaji yanayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya watu wasio na ulinzi wa Gaza ni Holocaust halisi na ya kweli.
-
Baada ya mazungumzo ya Moscow, mirengo ya Palestina yaapa kuungana pamoja dhidi ya Israel
Mar 01, 2024 23:37Makundi ya Palestina ikiwemo Hamas na Fat-h yamesema yatafuata "umoja wa kivitendo" katika kukabiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel baada ya wawakilishi wao kukutana katika mazungumzo yaliyoandaliwa na Russia mjini Moscow.
-
Ben-Gvir awapongeza wanajeshi wa Israel walioua zaidi ya Wapalestina 100 Ghaza, US yaizuia UN isitoe tamko
Mar 01, 2024 23:37Waziri wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel mwenye misimamo mikali ya chuki amewapongeza wanajeshi wa utawala huo walioua zaidi ya Wapalestina 100 waliokuwa wakisubiri misaada ya kibinadamu katika Ukanda wa Ghaza uliowekewa mzingiro.
-
Masharti ya makundi ya muqawama ya Palestina kuhusu mazungumzo ya kusimamisha vita
Mar 01, 2024 23:36Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ametoa ufafanuzi kuhusu masharti ya makundi ya muqawama katika mazungumzo ya kusimamisha vita na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Waziri wa Vita wa Israel akiri kuhusu hali ngumu ya utawala huo katika vita vya Gaza
Mar 01, 2024 03:37Yoav Gallant, Waziri wa Vita wa utawala wa kibaguzi wa Israel amekiri kuhusu hasara kubwa liliyopata jeshi la utawala huo katika vita vya Gaza na kusema, Wazayuni hawajawahi kukabiliwa na vita kama hivyo kwa muda wa miaka 75 iliyopita.
-
Israel yaua Wapalestina zaidi ya 100 waliokuwa wakisubiri misaada Gaza
Feb 29, 2024 23:29Wizara ya Afya ya Palestina jana ilitangaza kuwa wanajeshi wa Israel wamewauwa shahidi watu wasiopungua 104 waliokuwa katika umati uliokuwa ukisubiri kupatiwa misaada ya kibinadamu huko kusini mwa Gaza.
-
Uthman Taha atambulishwa shakhsia bora wa mwaka wa Qur'ani
Feb 29, 2024 08:38Idara ya Haram ya Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (as) katika mji mtakatifu wa Karbala, imetoa heshima maalumu kwa Uthman Taha, kwa kumtangaza mwandishi huyu maarufu wa kaligrafia kama shkhsia bora zaidi wa Qur'ani ya mwaka huu.