-
Uhispania kuipatia UNRWA msaada wa dharura wa dola milioni 3.8
Feb 05, 2024 23:27Waziri wa Mambo ya Nje wa Uhispania alitangaza jana Jumatatu kwamba nchi yake itatuma euro milioni 3.5 sawa na dola za Kimarekani milioni 3.8 kama msaada wa dharura kwa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Palestina (UNRWA).
-
Sana'a: Marekani ni tishio la kwanza kwa meli katika Bahari Nyekundu
Feb 05, 2024 23:26Wizara ya Mambo ya Nje ya Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen imepongea msimamo wa Saudi Arabia kuhusu Bahari Nyekundu na kusema, Marekani ndio tishio la kwanza na pekee la usalama wa safari za meli.
-
Hizbullah: Tumeishambulia Israel mara 961 tangu vilipoanza vita vya Gaza
Feb 05, 2024 03:16Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa tangu vilipoanza vita vya Gaza hadi sasa imetekeleza operesheni 961 dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Mateka wa Kizayuni; mgogoro usio na kikomo kwa Benjamin Netanyahu
Feb 05, 2024 02:57Kuendelea maandamano katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu ya kutaka kuachiliwa huru mateka wa Kizayuni, kumegeuka na kuwa mgogoro na jinamizi linalomkaba koo Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu pamoja na baraza lake la mawaziri.
-
Borrell: Mashambulizi ya Marekani dhidi ya Syria na Iraq yanaweza kuzidisha mvutano
Feb 04, 2024 23:46Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya, Josep Borrell ameeleza wasiwasi wake kuhusu athari mbaya za mashambulizi ya anga ya Marekani dhidi ya Syria na Iraq kwa hali inayogubikwa na wasiwasi ya eneo la Asia Magharibi, na kuonya kwamba hatua hizo zinaweza kuzidisha mivutano na kupanua wigo wa migogoro.
-
Maelfu ya watoto wanaugua nimonia nchini Pakistan
Feb 04, 2024 23:44Maafisa husika wa Afya wameripoti kutoka Pakistan kuwa watoto zaidi ya 19,000 katika jimbo la Punjab kaskazini mashariki mwa nchi hiyo wamegunduliwa kuugua maradhi ya homa ya mapafu yaani nimonia (Pneumonia) baada ya kufanyiwa vipimo katika kipindi cha mwezi mmoja wa karibuni.
-
Yemen: Tutatoa majibu makali kwa mashambulizi ya Marekani na Uingereza dhidi yetu
Feb 04, 2024 08:27Mohammad al Bukhaiti, mjumbe mwandamizi wa Ofisi ya Kisiasa ya Ansarullah ya Yemen amesema leo kuwa, mashambulizi mapya ya Marekani na Uingereza dhidi ya nchi hiyo hayatawazuia Wayemen kuendeleza operesheni dhidi ya Israel na kuwaunga mkono ndugu zao wa Ghaza.
-
Israel yaua watoto wa chekechea katika shambulio la anga Gaza
Feb 04, 2024 07:48Kwa akali watoto wawili wa Kipalestina wameuawa shahidi katika shambulizi la anga lililofanywa na ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya shule moja ya chekechea katika mji wa Rafah, kusini mwa Ukanda wa Gaza.
-
Masharti ya Muqawama wa Wapalestina ya usitishaji vita huko Gaza
Feb 04, 2024 04:14Ismail Hania, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS na Ziyad al Nakhalah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina wamefanya mazungumzo kuhusu mapendekezo ya kusimamishwa vita Gaza na kutoa masharti yao kuhusu jambo hilo.
-
Mufti wa Oman akejeli misaada ya baadhi ya mataifa ya Kiarabu kwa Israel
Feb 04, 2024 03:56Mufti wa Oman sambamba na kukejeli misaada ya baadhi ya nchi za Kiarabu kwa utawala wa Kizayuni wa Israel amesisitiza kuwa, "Wapalestina wanaodhulumiwa na wanaopigana wanateseka na njaa, lakini ndugu zao (nchi za Kiarabu) wanamsaidia adui [Israel].