-
Muendelezo wa maonyo ya serikali ya Uturuki kwa Israel
Dec 08, 2023 22:53Huku mzozo wa kiuchumi ukiendelea kushika kasi nchini Uturuki, harakati za shirika la ujasusi la utawala wa kibaguzi wa Israel (Mossad) dhidi ya nchi hiyo na mataifa mengine ya Kiislamu zinaendelea kuongezeka.
-
Hamas yawaomba wapigania uhuru duniani kushiriki maandamano ya mshikamano na Gaza
Dec 08, 2023 11:52Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imezitolea wito nchi za Kiarabu, Kiislamu na wapigania uhuru kote duniani kuandamana tangu leo ili kutangaza mshikamano na kuwa pamoja na wananchi madhulumu wa Ukanda wa Gaza.
-
Maandamano makubwa ya wananchi wa Yemen kuiunga mkono Palestina
Dec 08, 2023 11:40Wananchi wa Yemen leo asubuhi wamefanya maandamano kadhaa na kusisitiza udharura wa kuendelea kuwaunga mkono wananchi wa Palestina mkabala wa jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Umoja wa Mataifa: Vitendo vya Israel huko Gaza ni uhalifu
Dec 08, 2023 10:26Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Haki za Binadamu katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu ametahadharisha kuhusu hali mbaya ya maafa huko Gaza na kusema kuwa, mashambulizi ya kijeshi ya Israel huko Gaza ni jinai na uhalifu.
-
Mzunguko wa mauaji ya kimbari ya Israel kutoka kaskazini hadi kusini mwa Gaza
Dec 07, 2023 23:49Mashambulizi ya mabomu ya fosforasi katika kambi ya Jabalia na mapigano makali kati ya vikosi vya muqawama na wavamizi wa Kizayuni kusini mwa Ukanda wa Gaza ni miongoni mwa habari za hivi punde kuhusiana na Palestina.
-
Rais wa Iran akiwa safarini Russia asisitiza kusitishwa jinai za Israel dhidi ya Gaza
Dec 07, 2023 23:49Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa wito wa kusitishwa mara moja jinai za Israel za "mauaji ya kimbari" dhidi ya Wapalestina Ukanda wa Gaza.
-
Idadi ya mashahidi waliouawa na Israel Ukanda wa Gaza yapindukia elfu 17
Dec 07, 2023 11:40Msemaji wa Wizara ya Afya huko Gaza amesema: Watu 17,177 wameuawa shahidi Ukanda wa Gaza tangu kuanza hujuma na mashambuulizi ya kikatili ya za utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo hilo.
-
Jeshi la Kizayuni limeua kwa halaiki jamaa 22 wa familia ya ripota wa Aljazeera
Dec 07, 2023 03:36Televisheni ya Al Jazeera ya Qatar imelaani mauaji ya familia ya mmoja wa waandishi wake wa habari katika mashambulizi yaliyofanywa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel huko Gaza.
-
Afisa wa Yemen: Bahari Nyekundu ni marufuku kwa usafiri wa meli za utawala wa Kizayuni
Dec 07, 2023 02:45Waziri wa Ulinzi wa Serikali ya Yemen amesema, Bahari Nyekundu kutoka Ghuba ya Aqaba hadi Bab al-Mandab ni marufuku kwa safari za aina yoyote za meli za utawala wa Kizayuni.
-
Wazayuni wakiri kuwa Marekani inashiriki kivitendo katika mauaji ya watu wa Gaza
Dec 07, 2023 01:31Wizara ya Vita ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel imekiri katika taarifa kwamba utawala huo umepokea tani 10,000 za zana za kivita kutoka Marekani tangu ulipoanzisha vita dhidi ya watu wa Gaza mnamo tarehe 10 Oktoba.