-
Waandishi wa habari; wahanga wa usimuliaji ukweli kuhusu jinai za Wazayuni
Dec 03, 2023 03:16Katika vita vilivyoanzishwa na Wazayuni dhidi ya Ukanda wa Gaza, hadi sasa waandishi wa habari 73 wameshauawa shahidi kutokana na mashambulio ya kinyama yaliyofanywa na jeshi la utawala wa Kizayuni.
-
Idadi ya Wapalestina waliouawa shahidi Gaza yaongezeka na kufikia watu 15,207
Dec 02, 2023 23:44Msemaji wa Wizara ya Afya katika Ukanda wa Gaza ametangaza kuwa, hadi kufikia jioni ya jana (Jumamosi) idadi ya Mashahidi wa mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kizayuni katika eneo hilo imeongezeka na kufikia watu 15,207.
-
Yemen: Silaha zetu zitaendelea kuupiga utawala wa Kizayuni wa Israel
Dec 02, 2023 07:12Mjumbe wa ngazi za juu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amesema kuwa, silaha za nchi yake zimeelekezwa kwa adui Mzayuni ambaye ndiye adui nambari moja na kwamba utaendelea kuzitumia silaha hizo kuupiga utawala huo dhalimu.
-
Hizbullah: Muqawama hautoruhusu Wazayuni wafikie malengo yao Ghaza
Dec 02, 2023 07:09Naibu wa Mkuu wa Baraza la Utendaji la Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amegusia kuanza upya jinai za utawala wa Kizayuni huko Ghaza na kusema kuwa, muqawama kamwe hautowaruhusu Wazayuni kufanikisha malengo yao haramu.
-
Kuanza tena mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza
Dec 02, 2023 03:45Katika hatua iliyokuwa ikitazamiwa, utawala wa Kizayuni wa Israel meanza tena mashambulizi dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza baada ya kumalizika siku saba za usitishaji vita.
-
Mauaji ya Wapalestina wa Gaza "yamvutia" Gallant alipoona wanavyoshambuliwa kutokea angani
Dec 02, 2023 02:35Waziri wa vita wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel Yoav Gallant amesema, jana alisafiri kwa helikopta ya kivita katika Ukanda wa Gaza kuangalia mashambulizi ya jeshi la utawala huo, ambayo yalianza tena asubuhi baada ya Tel Aviv kutangaza kumalizika usitishaji mapigano wa wiki moja kwa sababu za kibinadamu.
-
WSJ: Mashirika ya ujasusi ya Israel yamepanga kuwaua viongozi wa HAMAS popote pale duniani
Dec 02, 2023 02:31Mashirika makuu ya ujasusi ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel yanaripotiwa kuwa yamedhamiria "kuwaua" viongozi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS duniani kote baada ya kumalizika vita vyake vya kikatili na kinyama unavyoendeleza dhidi ya Ukanda wa Gaza, ambavyo tayari vimeshaua Wapalestina wanaokaribia 16,000 hadi sasa.
-
Nukta nne za kistratijia katika matamshi ya Kiongozi Muadhamu kuhusu Asia Magharibi na kadhia ya Palestina.
Dec 02, 2023 00:50Akizungumza siku ya Jumatano tarehe 29 Novemba katika kikao na askari wa kujitolea mashuhuri kama Basij kutoka pembe zote za nchi, Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, amegusia nukta kadhaa muhimu kuhusu operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa na stratijia ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusiana na kadhia ya Palestina.
-
Muqawama wajibu jinai za Israel; HAMAS yasema: Marekani na Israel ndio wa kulaumiwa
Dec 02, 2023 00:49Muqawama wa Palestina umejibu jinai mpya za utawala wa Kizayuni dhidi ya Ukanda wa Ghaza huku Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ikisema kuwa, wa kubebeshwa dhima na lawama za kuanza tena mapigano ni Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Wapalestina zaidi ya 3,365 wametiwa nguvuni tangu ilipoanza Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa
Dec 02, 2023 00:48Jumuiya ya Wafungwa wa Palestina imetangaza kuwa idadi ya Wapalestina waliokamatwa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel tangu Oktoba 7 imeongezeka na kufikia 3,365.