-
Jinai za kutisha za Wazayuni zinaendelea, takriban Wapalestina 110 wauawa shahidi kwa siku moja tu
Dec 01, 2023 09:55Kuanzia asubuhi ya leo Ijuumaa, na mara baada ya kumalizika muda wa kusimamisha vita, utawala wa Kizayuni umeendeleza mauaji ya kikatili kupindukia dhidi ya wananchi wa Ghaza huko Palestina wanaoendelea kuzingirwa kila upande.
-
Israel yaanza tena kumwaga damu za Wapalestina Gaza, makumi wauawa shahidi
Dec 01, 2023 04:25Miripuko kadhaa na milio ya risasi imesikika kaskazini mwa Ukanda wa Gaza baada ya utawala haramu wa Israel kuanzisha tena hujuma na mashambulizi yake ya kinyama dhidi ya Wapalestina wa eneo hilo linalokaliwa kwa mabavu, baada ya muda wa usitishaji vita kumalizika mapema leo.
-
NAM yaeleza wasiwasi wake kuhusu matumizi ya Israel silaha zilizopigwa marufuku huko Gaza
Nov 30, 2023 23:00Harakati ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote (NAM) imeeleza wasiwasi wake mkubwa na kutahadharisha kuhusu suala la Israel kutumia silaha zilizopigwa marufuku, yakiwemo mabomu ya fosforasi, huko Gaza na kusini mwa Lebanon.
-
Erdogan: Netanyahu ni chinjachinja wa Gaza anayetaka kurefusha maisha yake ya kisiasa
Nov 30, 2023 22:58Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, amemtaja Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, kuwa ni "mchinjaji wa Gaza," akisisitiza kwamba anarikodi jina lake katika historia kwa sifa hiyo kwa sababu "amefanya moja ya ukatili mkubwa zaidi wa karne hii."
-
Taathira tofauti za kusitisha mapigano na kubadilishana mateka kwa pande mbili za Israel na Palestina
Nov 30, 2023 22:57Usitishwaji vita kati ya harakati ya Hamas na utawala wa Kizayuni umerefushwa tena kwa siku moja.
-
Mashirika ya UN: Vita vya Israel vimepelekea mji wa Gaza kuwa mahame
Nov 30, 2023 09:37Shirika la Umoja wa Mataifa la Msaada kwa Wakimbizi wa Kipalestina UNRWA limeripoti kuwa msaada wa kibinadamu umefika kwenye makazi yake kaskazini mwa Gaza kwa mara ya kwanza tangu utawala haramu wa Israel uanzishe vita vya maangamizi ya umati dhidi ya Wapalestina wa eneo hilo, Oktoba 7.
-
Jeneral Baqeri: Iran imejiandaa kikamilifu kuimarisha ushirikiano wa kijeshi na Saudi Arabia
Nov 30, 2023 09:32Kamanda wa ngazi ya juu zaidi wa kijeshi nchini Iran amesema kuwa majeshi ya Iran yako tayari kikamilifu kustawisha uhusiano wa kijeshi na Saudi Arabia.
-
Usitishaji vita huko Gaza warefushwa kwa siku moja
Nov 30, 2023 03:48Asubuhi ya leo Alhamisi , Qatar imetangaza kurefushwa kwa siku moja usitishaji vita kati ya utawala wa Kizayuni na muqawama wa Palestina.
-
Kuharibika mfumo wa huduma za afya Ukanda wa Gaza na tishio kwa makumi ya maelfu ya watu
Nov 30, 2023 01:24Hata kama vita vimesitishwa kwa muda huko Gaza kwa kufikiwa mapatano kati ya utawala wa Kizayuni na harakati ya Hamas, lakini wasiwasi umeongezeka kuhusu hali ya huduma za afya na usafi katika ukanda huo.
-
Israel yaendelea kumwaga damu za watoto wadogo Jenin
Nov 30, 2023 00:24Watoto wawili wa Kipalestina wameuawa shahidi kwa kupigwa risasi na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika mji wa Jenin, kaskazini ya eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.