-
Msikiti wa al-Aqswa ni mstari mwekundu wa taifa la Palestina
Sep 11, 2023 10:31Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS huko Quds iinayokaliwa kwa mabavu ameashiria vitendo vya Wazayuni vya kulivunjia heshima eneo hilo takatifu na kusisitiza kwamba, msikiti wa al-Aqswa utaendelea kuwa mstari mwekundu wa taifa la Palestina.
-
Walowezi wa Kizayuni wavamia tena kibla cha kwanza cha Waislamu
Sep 11, 2023 03:28Makumi ya walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wamevamia msikiti wa al-Aqswa na kuuvunjia heshima.
-
Magaidi zaidi ya 100 waangamizwa katika mji wa Idlib Syria
Sep 10, 2023 04:00Zaidi ya magaidi 100 wameangamizwa nchini Syria na kutoa pigo kwa mabaki ya wapiganaji wa kigaidi katika nchi hiyo.
-
Zaidi ya asilimia 70 ya Wazayuni wanampinga Netanyahu
Sep 10, 2023 03:59Matokeo ya uchunguzi wa hivi karibuni zaidi uliofanywa na vyombo vya habari vya Kizayuni yanaonyesha kuwa, asilimia 75 ya Wazayuni hawaridhishwi na utendaji kazi wa Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni na baraza lake la mawaziri.
-
Wanaharakati waandamana mbele ya Bunge la Ujerumani kupinga mauaji ya watoto yanayofanywa na Israel
Sep 10, 2023 01:06Wanaharakati wanaoiunga mkono Palestina nchini Ujerumani wamekusanyika mbele ya Bunge la Ujerumani kulaani mauaji yanayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya watoto wa Kipalestina.
-
Kwa mara ya tatu, marubani wa Israel wakataa kuendesha ndege itakayombeba Netanyahu
Sep 08, 2023 22:58Kwa mara ya tatu, marubani wa shirika kubwa zaidi la ndege la utawala wa Kizayuni wa Israel wametangaza kuwa hawataendesha ndege itakayompeleka Benjamin Netanyahu New York kulalamikia mageuzi ya mahakama yaliyofanywa na waziri mkuu huyo wa utawala huo haramu.
-
Maafisa na taasisi za usalama zamuonya Netanyahu kuhusu madhara ya kuongezeka vitendo vya mabavu dhidi ya Wapalestina
Sep 08, 2023 22:49Huku baraza la mawaziri la Benjamin Netanyahu lenye misimamo mikali ya ubaguzi wa rangi likiendelea kutekeleza jinai na ugaidi dhidi ya Wapalestina, maafisa na taasisi za kiusalama za utawala huo ghasibu zimetahadharisha kuhusu matokeo hasi ya suala hilo.
-
Wabunge wa Jordan wataka balozi wa Israel afukuzwe kufuatia kudhalilishwa wanawake wa Kipalestina
Sep 08, 2023 08:56Makumi ya wabunge wa Jordan wametoa wito wa kufukuzwa nchini humo balozi wa utawala haramu wa Israel kutokana na kitendo cha wanajeshi wa utawala huo kuwalazimisha wanawake watano wa Kipalestina wavue nguo wakati nyumba zao zilipovamiwa na askari hao huko katika mji wa al-Khalil, katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Matukio mapya ya kuzingatiwa nchini Yemen
Sep 08, 2023 04:47Safari ya kwanza ya Katibu Mkuu wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi mjini Aden badala ya Sana'a imezua maswali mengi kuhusu malengo hasa ya safari hiyo.
-
OIC: Papua New Guinea imefanya makosa kwa kufungua ubalozi Quds
Sep 08, 2023 04:07Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imekosoa vikali hatua ya Papua New Guinea kufungua ubalozi katika mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel.