-
Rais Rouhani: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haitaomba ruhusa kwa mtu yeyote ya kuunda zana za ulinzi + Picha
Feb 11, 2019 14:24Rais Hassan Rouhani amesema: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haiombi na wala haitaomba ruhusa kwa mtu yeyote ya kuunda aina mbali mbali za makombora na zana za ulinzi; na itaendelea kufuata njia yake kwa nguvu na uwezo kamili.
-
CNN: Iran haioneshi kuwa na muelekeo wa kusalimu amri mbele ya Marekani
Feb 11, 2019 14:23Kanali ya televisheni ya CNN ya Marekani ambayo imeyaakisi maandamano ya leo ya Bahman 22 (Februari 11) ya mjini Tehran ya kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, imeeleza katika ripoti yake kuwa, Iran haioneshi kuwa na muelekeo wa kusalimu amri mbele ya Marekani.
-
Mamilioni ya Wairani washiriki maandamano ya kuadhimisha miaka 40 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 11, 2019 08:06Mamilioni ya wananchi Waislamu wa Iran wamejitokeza kwa wingi kushiriki katika maandamano ya kuadhimisha miaka 40 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Mfalme wa Oman atuma ujumbe wa pongezi kwa mnasaba wa maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 11, 2019 02:48Mfalme wa Oman Qaboos bin Said amemtumia ujumbe wa pongezi Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Taathira za Kimataifa za Mapinduzi ya Kislamu ya Iran
Feb 10, 2019 08:10Ni wasaa na wakati mwingine mpenzi msikilizaji unapokutana nami Salum Bendera katika mfululizo huu wa vipindi hivi maalumu vya Alfajiri Kumi vinavyokujieni kwa manasaba wa maadhimisho ya miaka 40 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu yaliyotokea mwaka 1979 kwa uongozi wa Imam Ruhullah Khomeini.
-
Jumapili, Februari 10, 2019
Feb 10, 2019 01:14Leo ni Jumapili tarehe 4 Mfunguo Tisa Jamaduth-Thani 1440 Hijria, mwafaka na tarehe 10 Februari 2019 Miladia.
-
Ijumaa tarehe 8 Februari 2019
Feb 07, 2019 22:34Leo ni Ijumaa tarehe Pili Jamadithani 1440 Hijria sawa na Februari 8 mwaka 2019.
-
Mafanikio ya Sayansi Iran baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 04, 2019 09:43Makala hii tumekutayarishia kwa munasaba wa maadhimisho ya mwaka wa 40 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran. Katika makala ya leo tutaangazia mafanikio ya sayansi na teknolojia nchini Iran.
-
Miaka 40 ya kuwa bega kwa bega wanawake na Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran
Feb 04, 2019 05:48Tukichunguza kwa makini mapinduzi na mabadiliko mbalimbali ambayo yametokea duniani hadi sasa tutabaini kuwa wanawake wameshiriki na wametoa mchango athirifu katika akthari ya mapinduzi hayo. Katika moja ya sifa maalumu za Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni kushiriki kwa wingi wanawake na mchango mkubwa waliotoa katika mapinduzi hayo.
-
Vijana, Walinzi Imara na wa Daima wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 03, 2019 11:41Ujana ni kipindi kinachong'aa cha maisha ya mwanadamu ambacho japokuwa si kirefu lakini athari zake zinabakia muda mrefu na huwa na taahira kubwa katika maisha ya kiumbe huyo.