-
Watu 7 wauawa katika maandamano ya siku mbili huko Togo dhidi ya Rais Gnassingbe
Jun 30, 2025 04:31Mashirika ya haki za binadamu na taasisi za kiraia zimeripoti kuwa watu wasiopungua saba wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika maandamano dhidi ya serikali katika mji mkuu wa Togo, Lome. Watu hao waliuawa katika maandamano yaligeuka na kuwa ghasia kuanzia Alhamisi hadi juzi Jumamosi.
-
Takriban watoto 239 wamefariki dunia magharibi mwa Sudan tangu Januari
Jun 30, 2025 04:30Takriban watoto 239 wameaga dunia magharibi mwa Sudan tangu mwezi Januari mwaka huu kutokana na ukosefu wa chakula na dawa za kutosha. Ripoti hii imetolewa na Mtandao wa Madaktari wa Sudan.
-
Ajali mbaya ya barabarani yaua watu 38 nchini Tanzania
Jun 30, 2025 00:54Watu 38 wameripotiwa kufariki dunia na wengine 30 wamejeruhiwa nchini Tanzania baada ya mabasi mawili kugongana na kuwaka moto.
-
Watu takribani 50 wafariki baada ya kuporomoka mgodi wa dhahabu Sudan
Jun 29, 2025 10:44Takriban watu 50 wamefariki dunia kufuatia kuporomoka kwa mgodi wa dhahabu kaskazini mashariki mwa Sudan, vyombo vya habari vya ndani vimeripoti Jumapili.
-
Museveni achukua fomu ya kuwania muhula wa saba madarakani
Jun 28, 2025 23:14Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameomba tena uteuzi wa kugombea muhula wa saba, hatua inayomuelekeza kwenye miaka 50 ya kuwa madarakani.
-
Chama cha DA cha Afrika Kusini chajiondoa kwenye mazungumzo ya kitaifa
Jun 28, 2025 23:14Chama cha Democratic Alliance cha nchini Afrika Kusini kimejiondoa kwenye mazungumzo ya kitaifa hata hivyo hakijajitoa katika serikali ya mseto baada ya Rais wanchi hiyo Cyril Ramaphosa kumfuta kazi Naibu Waziri wake mmoja. Haya yameelezwa na kiongozi wa chama hicho John Steenhuisen.
-
EACC: Wanafunzi Kenya wanatumiwa na viongozi kusajili kampuni hewa za kupora pesa
Jun 28, 2025 04:58Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi ya Kenya (EACC) imefichua mpango, ambapo maafisa wa juu wa serikali za Kaunti, wakiwemo magavana wanadaiwa kuwahusisha wanafunzi walioko kwenye mafunzo ya kazi kama njia ya kufuja mabilioni ya pesa za umma kupitia kampuni hewa.
-
Amnesty Kenya: Vifo 16 vimesajiliwa kufuatia ghasia zilizojiri nchini
Jun 26, 2025 12:20Watu 16 wameuawa na mamia wamejeruhiwa wakati wa maandamano ya kitaifa dhidi ya serikali nchini Kenya siku ya Jumatano, ambapo kwa mujibu wa Mkuu wa shirika la Amnest Kenya na Kamisheni ya Taifa ya Kenya ya Haki za Binadamu, wengi wao wameuawa na polisi.
-
Jeshi la Sudan linasema limedhibiti tena maeneo muhimu katika jimbo la Blue Nile kutoka kwa RSF
Jun 26, 2025 12:06Jeshi la Sudan limeyadhibiti tena maeneo kadhaa katika jimbo la Blue Nile, kusini mashariki mwa nchi hiyo, yaliyokuwa yakishikiliwa na wanamgambo wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) baada ya mapambano ya jeshi la Sudan dhidi ya RSF na wapiganaji wa harakati ya SPLM-N.
-
Waislamu wa Nigeria washerehekea ushindi wa Iran dhidi ya Marekani na Israel
Jun 25, 2025 05:27Waislamu nchini Nigeria wamesherehekea ushindi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran dhidi ya Marekani na utawala haramu wa Israel baada ya vita kati ya Iran na Isreal kusitishwa baada ya kudumu kwa siku 12.