-
Je, kwa nini Trump amenyamazia kimya mauaji ya kimbari huko Gaza, huku akidai yametokea Afrika Kusini?
May 23, 2025 02:27Akizungumza siku ya Jumatano katika kikao chenye mvutano na Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini, Rais Donald Trump wa Marekani alichukua hatua ya kushanga kwa kumuonyesha video ya kiongozi mmoja wa mrengo wa kulia wa Afrika Kusini aliyetoa wito wa kuuawa wakulima weupe ili kuthibitisha madai yake kuhusu kile kinachodaiwa kuwa mauaji ya kimbari dhidi ya wazungu wa nchi hiyo.
-
WFP yaonya juu ya kupungua msaada wa chakula kwa wakimbizi Kenya
May 22, 2025 23:29Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) jana Alkhamisi lilionya kwamba, wakimbizi nchini Kenya wanakabiliwa na hatari kubwa ya njaa huku uhaba mkubwa wa fedha ukilazimisha shirika hilo kupunguza msaada wa chakula hadi viwango vya chini zaidi.
-
Ufaransa yafuta uchunguzi wa uhalifu dhidi ya mjane wa Rais wa zamani wa Rwanda
May 22, 2025 23:28Ufaransa imetangaza kuwa, imefuta uchunguzi wa uhalifu dhidi ya mjane wa Rais wa zamani wa Rwanda
-
Sudan yagundua makaburi ya halaiki yenye mamia ya miili Omdurman
May 22, 2025 09:07Jeshi la Sudan limesema leo Alkhamisi kwamba, makaburi ya halaiki ya mamia ya raia yamegunduliwa katika mji wa Omdurman, kaskazini mwa mji mkuu wa nchi hiyo, Khartoum.
-
Ramaphosa amfumba mdomo Donald Trump
May 22, 2025 02:37Rais wa Afrika Kusini, ambaye alikuwa mgeni wa rais wa Marekani katika Ikulu ya White House amejibu shutuma kali za Trump dhidi ya serikali ya Afrika Kusini kwa kumpa majibu mazito yaliyomfumba mdomo rais huyo mwenye kiburi wa Marekani.
-
Kamanda wa al-Shabaab ni miongoni mwa magaidi 45 walioangamizwa Somalia
May 22, 2025 02:36Vikosi vya usalama vya Somalia vimeangamiza magaidi 45 wa al-Shabaab, ikiwa ni pamoja na mkuu wa genge hilo aliyehusika na mashambulizi ya mara kwa mara ya mabomu mjini Mogadishu tangu 2023.
-
Waziri Mkuu wa zamani wa Chad aendelea kushikiliwa korokoroni
May 22, 2025 02:34Mahakama moja nchini Chad imeamuru kurejeshwa rumande na kuendelea kushikiliwa korokoroni, Waziri Mkuu wa zamani wa nchi hiyo, Succès Masra.
-
Kenya yakiri kuhusika na utekaji wa Kizza Besigye jijini Nairobi
May 21, 2025 22:52Kenya imekiri kwamba ilisaidia katika utekaji wa mwanasiasa wa upinzani wa Uganda katika ardhi yake mwaka uliopita.
-
Madaktari Wasio na Mipaka: Kiasi cha misaada kwa Gaza ni kichekesho
May 21, 2025 22:51Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) limetangaza katika taarifa yake jana (Jumatano) kwamba kiasi cha misaada ambayo utawala wa Israel umeruhusu kuhamishiwa Ukanda wa Gaza ni kichekesho.
-
Jeshi la Sudan latangaza kuukomboa kikamilifu mji wa Khartoum
May 21, 2025 06:39Jeshi la Sudan (SAF) limetangaza kuwa Jimbo la Khartoum limekombolewa kikamilifu na kwamba wapiganaji wote wa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) wamefukuzwa mjini humo. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Khartoum imekuwa bila ya wanamgambo wa RSF kwa mara ya kwanza baada ya zaidi ya miaka miwili.