-
AU yapongeza kuteuliwa Waziri Mkuu raia nchini Sudan
May 21, 2025 06:39Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC) Mahmoud Ali Youssouf amepoongeza kuteuliwa Kamil Idris kwa Waziri Mkuu mpya wa Sudan, na kusema kuwa hiyo ni hatua ya kuelekea kwenye utawala jumuishi katika nchi hiyo inayoendelea kuteseka kwa migogoro.
-
Muhoozi Kainerugaba: Ninamkubali Rais Samia Suluhu Hassan; 'Asante mama'
May 21, 2025 04:02Mkuu wa Majeshi ya Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba amemsifu Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuwa ni mmoja wa viongozi anaowafadhilisha zaidi wa Afrika aliowataja kuwa "wana maamuzi makubwa".
-
Utoshelevu wa chakula; Afrika yatakiwa iongeze bajeti kwenye kilimo
May 21, 2025 02:24Serikali za nchi za Afrika zimehimizwa kuongeza uwekezaji katika sekta ya kilimo ili kuimarisha usalama wa chakula na kufungua mustakbali wa maendeleo endelevu ya kiuchumi.
-
Jeshi la Sudan: Tunakaribia kudhibiti tena Khartoum
May 20, 2025 22:56Jeshi la Sudan lilisema jana Jumanne kwamba, vikosi vyake vinakaribia "kusafisha kabisa" Jimbo la Khartoum toka mikononi mwa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF).
-
Miili 105 ya wahamiaji 'haramu' iliopolewa katika pwani ya Senegal 2024
May 20, 2025 22:55Jumla ya miili 105 iliopolewa kutoka baharini pwani ya Senegal mwaka 2024 baada ya kupinduka kwa mitumbwi yao iliyohusishwa na uhamiaji 'usio wa kawaida'.
-
Hatimaye Sudan yapata Waziri Mkuu mpya
May 20, 2025 09:52Kiongozi wa Kijeshi wa Sudan Abdel Fattah al-Burhan amemteua Kamil El-Tayeb Idris Abdelhafiz kuwa waziri mkuu mpya wa taifa hilo, ikiwa ni miaka miwili tangu vita kuzuka nchini humo.
-
Wanaharakati wa Kenya kuishtaki serikali ya Tanzania kwa ukiukaji wa haki
May 20, 2025 09:46Wanaharakati wa haki za binadamu nchini Kenya wanapanga kwenda mahakamani kuishtaki serikali ya Tanzania, kwa kile wanasema imekiuka haki za kibinadamu.
-
WHO: Mlipuko wa polio Madagascar umekwisha
May 20, 2025 08:29Mlipuko wa ugonjwa wa polio aina ya kwanza au (Type 1) nchini Madagascar umetangazwa kuwa umemalizika. Hii ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumanne na Shirika la Afya Duniani (WHO).
-
Maiti 58 wapatikana katika hospitali ya Libya ya wanamgambo wa SSA
May 20, 2025 03:20Takriban miili 58 ya watu ambao hawajulikani, ilipatikana jana Jumatatu katika hospitali moja mjini Tripoli iliyokuwa inadhibitiwa na wanamgambo wa SSA ambao kiongozi wao aliuawa wiki iliyopita.
-
Misri yarejesha nyumbani mabaki 21 ya kale yaliyoibwa na kupelekwa Australia
May 20, 2025 03:19Wizara ya Mambo ya Nje ya Misri imetangaza kwamba, nchi hiyo imefanikiwa kurejesha nyumba, mabaki 21 yenye thamani kubwa ya mabaki ya kali yaliyokuwa yameibwa nchini humo na kupelekwa Australia.